Kila machafuko huwa ni fursa kwa watu. Hilo la mikono ya watu nitalisema siku nyingine, ila kuhusu maandamano na vurugu niseme tu kwamba nimeyashuhudia yote tokea yanaanza siku za kwanza sijasimuliwa: Vijana wanapigwa risasi na kukimbizwa hospitali nimeona, Kufukuzwa na magari ya jeshi nimeona...
Samia huna aibu ndio maana unaendelea kusema uongo kuwa watanzania tumekupa ridhaa, watanzania gani muongo mkubwa wewe, sisi hatukutaki, hakukuwa na uchaguzi, hakuna kura zilipigwa za kukuweka madarakani ndio maana nakuita Samia na si Rais
Maneno yako ya pole yanatia hasira zaidi, wiki 2...
Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya.
Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao.
Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
GT
Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public.
Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye...
TAARIFA KWA UMMA
Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la...
Mwanaharakati wa Kenya Bob Njagi amefichua kwamba kukamatwa kwake hivi karibuni nchini Uganda, pamoja na mwanaharakati mwenzake Nicholas Oyoo, kulipangwa kwa makusudi. Amesema walikamatwa muda mfupi baada ya kuegesha gari lao katika kituo cha mafuta kinachodaiwa kumilikiwa na Rais William Ruto...
Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni...
Wazalendo,
Ukombozi wa nchi yetu unakaribia.
Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi.
Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa...
Kupitia page ya Instagram ya Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa nasaha wakiwaasa wananchi kuepukana na maandamano kwani ni biashara ya wachache ambao ndiyo hunufaika zaidi, na wengi wa raia huumia zaidi kwa kupoteza kazi, biashara na madhara mengine mengi!
"Maandamano ni biashara, wachache...
Gen Z wa Tanzania walipotishia kuandamana kupinga uchafuzi ulioitwa uchaguzi, wengi, hasa machawa, waliwabeza wakijipa imani kuwa wasingeweza. Mbona waliweza. Hata haya maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika yatafanyika, na serikali haitafanya kitu.
Mosi, Gen...
Katika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29.
Lakini niseme vijana ni kundi kubwa sana na wanawaza faster na uwezo wao ni mkubwa kuliko makundi mengine. Nawahakikishia Gen-Z will bring...
Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzuia mpaka baadae sana.
Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha sana Kipenzi chetu mama Samia, analipwa mshahara mnono bila uwajibikaji unaostahili.
Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji...
Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo.
So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani.
Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience.
Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari...
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu!
Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli.
Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao
Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli
Bali...
Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali.
Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza...
Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli
Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.