maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchambuzi wangu: Yatokanayo na maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Neno la utangulizi ( preamble) BILA SERIKALI KUWAJIBIKA.. RECONCILIATION haina maana yoyote .Kuwajibika kwenye uchafuzi wa kura uliowanyima mamilion ya Watanganyika haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa . Kuwajibika kwenye kupika matokeo ya uchufuzi wa kura.. Yenye kutia kinyaa na aibu kubwa ...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali kwa sasa Tafadhali Sana msiangaike kukamata Mtu yoyote kusema Sijui alichochea Maandamano mtakua Mnacheza na Moto

    Ushauri wangu kwa Serikali kaa jitafakari acheni kuangaika na watu mmeshajikwaa huu ni mda wakuleta wananchi wote pamoja. Kama ni makosa yamefanyika pande zote mbili serikali kupuuza madai ya wananchi. Maana maandamano...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa naropoka eti haziwahusu, baada ya maandamano wamejua kwamba siasa inawahusu

    Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu. Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?. Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake. Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

    Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi. Zamani wanepali wengi...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Uliza vijiwe vyote vya boda hawakuhusika na maandamano ya wahuni

    Ukiwaulizia wanabodaboda wengi wa vijiwe vyetu maarufu hawakushiriki maandamano na waliendelea kutoa huduma ya usafiri. hii ni ishara ya mamluki kutoka nje ya Tanzania kuletwa kushiriki uvunjifu wa amani.
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  7. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania GE2025 MO29 is the day that marks the beginning of an end

    RIP kwa ndugu zetu waliopoteza Maisha. Lengo la maandamano ilikuwa ni kuzuia Uchaguzi usifanyike. NRNE imefeli. Ila Matokeo ya Uchaguzi yamezidisha hasira. Kama wanaweza wasiwe na Aibu wakaiba kura nying namna ile. Imagine wanafanyaje wakiwa kwenye maprojects yao ya kupeana na kugawana hela...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mikoa ifuatayo haikuwa na maandalizi ya maandamano na hawakuandamana

    1. Tabora, wanyamwezi mnatuchelewesha kupata Tanganyika yetu amkane 2. Ruvuma (Wangoni, wamatengo na wayao achane ujinga) 3. Kigoma (Waha amkeni nyie ni miongoni mwa mikoa iliyosahaulika kimaendeleo lakini hatakuandamana hamtaki) 4. KAGERA(Wahaya nyie hata mji wenu hakuna hata stand ya mabasi...
  9. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sativa na Nuruvan wamehujumu maandamano na kuonekana ni uhalifu

    Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila muda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pongezi za dhati kwa wasukuma, mikoa waliyojaa haijavuma kwenye maandamano, ni watu watiifu na wakarimu sana

    Edit: hali ilikuwa mbaya, nawaombeni radhi
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hujafa maandamano ya 29/10 basi wewe ni key board warrior tu, msituchoshe

    Wanajijuwa, kazi zao kuchochea maandamano, wanakufa vijana wasiojielewa wao wanabakia kuandika threads tu za kuonyesha maandamano yalivyofanikiwa. Hawa hapa; Mshana Jr, brazaj, Carlos The Jackal, Lord Denning, Kalamu, CHIEF PRIEST, Seran, Mayor Quimby, The seer, Mbaga Jr, JokaKuu, Mzee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Day 4: Wananchi Geita waendelea na maandamano

    Hii ni jioni ya leo, Novemba 01, 2025. Pamoja na matokeo kutangazwa, wananchi hawaonekani kuridhika
  13. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 WanaCCM wengi tumefurahishwa na haya maandamano

    Tanzania mpya imezaliwa tarehe 29/10/2025. Kila mpenda haki amefurahi bila kujali yupo chama gani. Kwa CCM tumefurahi zaidi ila wengi hawataweza kuweka furaha zao wazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo unafiki. Mungu awabariki wote waliofanikisha maandamano. Ninawaombea kwa Mungu wote waliopoteza...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ndugu Samia S Hassan alaani Maandamano

    Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
  15. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Fikisha ujumbe: Mpango kazi wa maandamano

    ndugu zetu kote Tanzania ili kuepuka vifo zaidi, tusaidiane kuwaambia wasikae mbali na magari ya JWTZ yaliyoko barabarani, amani kwa sasa inapatikana barabarani kando ya magari JWTZ walioko barabarani!!!.. majumbani ni killing zone
  16. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Day 3: Hatimaye Polisi Mafinga watii Amri ya Wananchi, Waachilia wote waliokamatwa kwenye maandamano

    Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote. MADAI YA WAANDAMANAJI. 1. Uchaguzi ufutwe, 2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi 3. Waliotekwa waachiliwe huru, 4. Kesi za mchongo zifutwe
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sirari, Musoma: Wananchi waendelea na maandamano (Oktoba 30, 2025)

    Hali ipo hivi mpakani mwa Tanzania na Kenya (Sirari)
Back
Top Bottom