Nimekaa nikatafakari, nikagundua haya maandamano ya 9D ni myego mkubwa sana kwa pande zote mbili, serikali na Gen Z wote.
1 Gen Z tusipoandamana kama tunavuohamasishana mitandaoni, au serikali ikifanikiwa kuzima au kuzuia hayo maandamano, maanake Gen Z tutakuwa tumepoteza pambano...
Wakati tukiwa njiani kuindea D9 , nivyema tukawakumbuka mashujaa wote walioanguka kwa ajili ya Tanganyika kuanzia Siku ya 29.10.2025 nakuendelea.
Binafsi nitapenda machache yafuatayo yafanyike kuwaenzi wenzetu na sisi wengine tulioko njiani kuwafuata huko waliko kuanzia Siku ya D9 nakuendelea...
Nianze kwa kucheka kidogo😊
Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia
Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu hata kama siyo ya kujitoshereza ila majibu atakuwanayo.
Sasa kama tunajua kwanini vijana...
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini zilizo chini ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) zimewataka vijana na wananchi kwa ujumla kutumia busara, utulivu na kufuata utaratibu wa kisheria wanapodai haki zao, huku zikisisitiza umuhimu wa kuepuka mikusanyiko isiyo rasmi hususan tarehe 9...
Mkuu wa majeshi anasema Tusiingize Jeshi kwenyemambo ya kisiasa, Wakati huo anayejiita Amiri Jeshi Mkuu ni Mwanasiasa Mkuu!
Unasema Jeshi lisiingizwe kwenye siasa kabla na wakati wa uchaguzi, Ila baada ya uchaguzi una deploy wanajeshi kila kona ya nchi for what? Kulinda amani baada ya tukio la...
https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg==
https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ==
ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto.
Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
Ndugu wana jamvi na hasa vijana kama mimi Gen Z. Najua CCM inafanya kila liwezalo kuzima moto wa Gen Z. Ndo maana unaona wanatumia baadhi ya waislamu na baadhi ya wakiristo wanaoweza kushawishika/kununulika kirahisi. Hawa watu hawajuhi kabisa sisi vijana magumu tunayopitia.
Naomba ieleweke...
Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio wazuie maandamano?
Ndugu zetu wamekufa kama kuku October 29 alafu mnatuletea hawa mashekhe moto utawaka #D9
Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC.
Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa.
Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Kwa akili za kawaida kabisa na kwa watu wenye akili timamu, kwa situation iliyopo sasa Tanzania, kuna mambo wala hayakupaswa yafanywe kabisa achilia mbali kuyafanya hata kisirisiri.
Hivi kweli unawezaje kumpa UWAZIRI (naibu) mwanao ambaye tayari mumewe ni Waziri?? Mojawapo ya malalamiko ni...
Hapo vip!!
Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.
Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.
2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.
3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.
4.Nimeona waandamanaji...
Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa.
Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na sisi wewe unakuwa ni adui namba moja wa taifa.
Salaam Watanganyika.
Maono na maoni yangu na Hali halisi ndio hii.
Mungu azilaze mahala pema peponi roho za mashujaa wetu waliopoteza maisha katika harakati za kuikomboa nchi yetu.
Kwa jicho la kawaida wengi mnaona GEN Z waliopoteza,lkn Kwa jicho la ndani ukweli ni kwamba Gen Z walishinda...
Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!!
Aiseee..
Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika labda yawe kwa ajili ya kumpongeza mama! Mfano ile kampeni ya mama asemewe!
Kinyume na hapo hakuna...
Tunawakaribisha sanaaa kwenye MAANDAMANO ya Tuliouliwa Ndugu zetu, karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya sisi tunaowatafuta Maiti zetu, Karibuni sana kwenye MAANDAMANO ya Sisi ambao Maiti zetu zimechomwa na kuyeyushwaaaa hata zisionekane.
Karibuni Sanaa sanaaaaa .
Na sisi Maandalizi yetu...
Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela
alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.