maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    PostGE2025 WanaCCM wengi tumefurahishwa na haya maandamano

    Tanzania mpya imezaliwa tarehe 29/10/2025. Kila mpenda haki amefurahi bila kujali yupo chama gani. Kwa CCM tumefurahi zaidi ila wengi hawataweza kuweka furaha zao wazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo unafiki. Mungu awabariki wote waliofanikisha maandamano. Ninawaombea kwa Mungu wote waliopoteza...
  2. Ndugu Samia S Hassan alaani Maandamano

    Samia amelaani Maandamano. Amesema yeye na wenzake walioshiriki uchaguzi wamesikitishwa sana na Vitendo hivyo alivyodai si vya kiungwana
  3. Fikisha ujumbe: Mpango kazi wa maandamano

    ndugu zetu kote Tanzania ili kuepuka vifo zaidi, tusaidiane kuwaambia wasikae mbali na magari ya JWTZ yaliyoko barabarani, amani kwa sasa inapatikana barabarani kando ya magari JWTZ walioko barabarani!!!.. majumbani ni killing zone
  4. Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  5. B

    GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  6. Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  7. Day 3: Hatimaye Polisi Mafinga watii Amri ya Wananchi, Waachilia wote waliokamatwa kwenye maandamano

    Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote. MADAI YA WAANDAMANAJI. 1. Uchaguzi ufutwe, 2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi 3. Waliotekwa waachiliwe huru, 4. Kesi za mchongo zifutwe
  8. M

    Sirari, Musoma: Wananchi waendelea na maandamano (Oktoba 30, 2025)

    Hali ipo hivi mpakani mwa Tanzania na Kenya (Sirari)
  9. JE KATIBA MPYA IKIPATIKANA, LISSU, HECHE NA POLEPOLE WAKIACHIWA, MAANDAMANO YATAKOMA?

    Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025. Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
  10. GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  11. GE2025 HAKUNA chombo cha Habari Tanzania kimeripoti maandamano

    Wanabodi Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Hakuna chombo cha habari kimetoa taarifa kuhusu maandamano yanayoendelea nchi nzima. Vyombo vyote vimepigwa ganzi. Havijui nini vifanye kwa maana ufanya kazi kwa maelekezo na wakuwapatia maelekezo safari hii kajificha chini ya uvungu. Anyway, #MO29 ✊🏾
  12. Mko wapi machawa mliokuwa mkisema hakuna maandamano? Njooni hapa tuwaone na kuwasikia

    Haiwi haiwi huwa. Waliokuwa wakituzodoa kuwa watanzania ni woga hawawezi kukinukisha mko wapi chawa wakubwa nyie? Samia na tambo za Khadija Kopa yuko wapi? Mnataka amani bila haki. Kweli hii inawezekana? Ushauri wangu wa bure ni kwamba tuache kuishi kwa mazoea binadamu ana tabia zinazobadilika...
  13. GE2025 Hali ya Arusha ni tete kutokana na maandamano

    Habarini Wakuu, Aisee Maandamano ya Arusha kutokea Sakina, Mianzini, Ilboru, na Sanawari kuelekea Clock Tower umezima kabisa zoezi la upigaji kura na kusababisha uharibifu wa mali Vijana wametoa vifaa vya kupigia na kutupa barabarani kisha kuchoma moto Pia Wamechoma magari nane mpaka sasa...
  14. GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  15. GE2025 Wananchi kadhaa wajeruhiwa kwenye maandamano katika majibizano na polisi

    WAkati maandamano yakiendelea kushika kasi na kupamba moto, wananchi kadhaa wameonekana kujeruhuwa baadhi wakiwa wanaingizwa kwenye magari ya polisi huku wengine wakisaidiwa na wananchi wenzao. Hapa inatakiwa kuhakikisha mtu hakamatwi na polisi, akiumiwa asaidiwe na kupatiwa msaada wa kwanza...
  16. Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  17. Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu yataendelea mpaka haki itakapotendeka

    Sasa wanaotafutwa ni wale vinara wa utekaji na ukandamizaji wa haki
  18. Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
  19. GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  20. M

    GE2025 Kama upo mikoa hii kesho endelea na shughuli zako kama kawaida, hakuna harufu yoyote ya maandamano, Watu wake ni watiifu sana

    Ruvuma Iringa Rukwa Tabora Kagera Tanga Lindi Morogoro Njombe Katavi Singida
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…