maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Maandamano ya D9-Tusidharau uwezo/nguvu za Gen-Z

    Katika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29. Lakini niseme vijana ni kundi kubwa sana na wanawaza faster na uwezo wao ni mkubwa kuliko makundi mengine. Nawahakikishia Gen-Z will bring...
  2. Kwanini Kamanda Muliro hakwenda kuzuia maandamano?

    Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzuia mpaka baadae sana. Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha sana Kipenzi chetu mama Samia, analipwa mshahara mnono bila uwajibikaji unaostahili. Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji...
  3. Njia liyotumika kudhibiti panya road nchini hiyohiyo itumike kudhibiti maandamano

    Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo. So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
  4. Gen Z tusimsikilize Mange Kimambi, 09/12 tujihami kwenye maandamano

    Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani. Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience. Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari...
  5. Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

    Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
  6. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  7. B

    PostGE2025 Mange Kimambi, "aliye engineer maandamano," akataa maridhiano

    Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali. Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza...
  8. Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano ili ufe nao kinyume na hapo wewe ni Mhalifu na Tapeli

    Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia...
  9. Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

    Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani? Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
  10. Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  11. Maandamano yoyote yatakayofanyika kuanzia sasa, hakuna raia yeyote atakayepigwa hata kibao. Tunza haya maneno

    Jicho lote kwa sasa lipo Tanzania. Maandamano yoyote yatakayofanyika kwa sasa hakuna raia yeyote atakayepigwa hata kibao nahawakikishia kwa hilo. Kama watathubutu kufanya hivyo jua Marekani wataingilia kati . Trump taarifa anayo, mataifa ya ulaya taarifa wanayo, CCM taarifa wanayo, WANANCHI...
  12. B

    GE2025 Washitakiwa 114 wafunguliwa kesi ya uhaini Mwanza, kufuatia maandamano Jumla yafikia 320 nchi nzima

    10 November 2025 Mahakama ya Wilaya Ilemela, Mwanza Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=EK5udu5ot38 Jumla ya watu 114 wamefikishwa mbele ya mahakama ya wilaya ya Ilemela Mwanza: Jumla ya watuhumiwa 114 waliokamatwa wilayani Ilemela mkoani Mwanza kati ya Oktoba 28 na 29, 2025 wamefikishwa...
  13. Msako wa kudili na waliochochea maandamano sasa umefika ndani ya chama tawala, milio itasikika soon

    Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho. Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio. Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe. Tega sikio…
  14. GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

    Friends and Our Enemies, Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante). Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu. Katika...
  15. Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  16. Mkiandamana achaneni na kuharibu mali za umma au za watu

    Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration. Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga. KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara. Maandamano kwa watu waliostarabika...
  17. Y

    Maandamano ni batili, vijana tusitumike

    Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni...
  18. Uzushi uliozushwa katikati ya kilele cha maandamano

    Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto Mawasiliano yalikuwa ya shida kwakuwa mitandao ilikuwa imezimwa na mamlaka zikakosa kujua athari za ueneaji wa...
  19. Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  20. Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

    Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo, Ngaramtoni na arumeru. Ntaleta update ya kinachoendelea. Baadhi ya maeneo yenye vurugu wananchi wapewa amri ya kutoka kutoka nje . Madai ya wananchi ni kuhusiana na kupewa miili ya ndugu zao ambayo haijulikani ilipo Hadi Sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…