Kwanini Kamanda Muliro hakwenda kuzuia maandamano?

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
9,140
Reaction score
22,954
Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzuia mpaka baadae sana.

Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha sana Kipenzi chetu mama Samia, analipwa mshahara mnono bila uwajibikaji unaostahili.

Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji walimkuta Muliro nyumbani kwake akiwa amejibanza. Akawatisha tisha na bastola akaruka ukuta akakimbilia anapojua mwenyewe. Naambiwa hapa kwamba alikimbilia RIVERSIDE.

Kamanda uliyeaminiwa badala ya kuongoza vikosi vya polisi, wewe unajibanza uvunguni unawasukumiza mbele polisi wadogo wasio na uzoefu wowote wa mapambano mwishowe wakabaki wanafyatua marisasi hovyo kwa hofu bila udhibiti.

Kwa kweli inakera sana, Mikwara yote uliyokuwa unapiga kwenye TV halafu mwisho wa siku ukala kona.

Kwanini hukutokea kwenye maandamano wewe?? umesababisha uharibifu mkubwa sana.

Nachukia sana makamanda uchwara wanaokula mishahara bila kutimiza wajibu.
 
Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzia mpaka baadae sana.

Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha Kipenzi chetu mama samia, analipwa mshahara mnono lakini hatokei kwenye eneo la tukio.

Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji walimkuta Muliro nyumbani kwake akiwa amejibanza. Akawatisha tisha na bastola akaruka ukuta sijui akakimbilia anapojua mwenyewe.

Kamanda uliyeaminiwa badala ya kuongoza vikosi vya polisi, wewe unajibanza uvunguni unawasukumiza mbele polisi wadogo wasio na uzoefu wowote wa mapambano mwishowe wakabaki wanafyatua marisasi hovyo kwa hofu bila udhibiti.

Kwa kweli inakera sana, Mikwara yote uliyokuwa unapiga kwenye TV halafu mwisho wa siku ukala kona.

Kwanini hukutokea kwenye maandamano wewe?? umesababisha uharibifu mkubwa sana.

Nachukia sana makamanda uchwara wanaokula mishahara bila kutimiza wajibu.
Wote hawakutoka , walikua chini ya vungu za vitanda vyao , mpaka pale jeshi lao la ukombozi chini ya amri za kamanda Dullah, lilipoanza kumimina mijegejo kwa raia wema!
 
Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzuia mpaka baadae sana.

Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha sana Kipenzi chetu mama samia, analipwa mshahara mnono bila uwajibikaji unaostahili.

Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji walimkuta Muliro nyumbani kwake akiwa amejibanza. Akawatisha tisha na bastola akaruka ukuta sijui akakimbilia anapojua mwenyewe.

Kamanda uliyeaminiwa badala ya kuongoza vikosi vya polisi, wewe unajibanza uvunguni unawasukumiza mbele polisi wadogo wasio na uzoefu wowote wa mapambano mwishowe wakabaki wanafyatua marisasi hovyo kwa hofu bila udhibiti.

Kwa kweli inakera sana, Mikwara yote uliyokuwa unapiga kwenye TV halafu mwisho wa siku ukala kona.

Kwanini hukutokea kwenye maandamano wewe?? umesababisha uharibifu mkubwa sana.

Nachukia sana makamanda uchwara wanaokula mishahara bila kutimiza wajibu.
FB_IMG_1762877227823.jpg
FB_IMG_1762873893989.jpg
 
Jamaa alikuwa anatuona sisi wakazi wa Dar kama pumbu zake.

Pumbavu sasa kawa ndito na kigoli tu alafu anakaribia kustaafu huyo. Tutamuwinda popote.
 
Alikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
 
Wewe uandamane? Kama kwenye maisha ya kawaida tu hadi Binti Kimoso akufuge, utaweza maandamano? 🤣🤣

Sasa ningejuaje Muliro alikuwa ndani ya gari nyeusi illiyoandikwa POLISI 999 (DSM)

Mimi nilitoka kwaajili ya kazi yangu ya kuandika. Ingawaje kiukweli ilikuwa hatari sana. Ilikuwa very risk.
 
Unaandikaga nini dogo? Ni vile vipeperushi vyako kama vya Yericko Nyerere jasusi lenye mwanya na linalorembua macho?
 
Alikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
Wewe jamaa bana, mara maandamano yalifeli. Mara ulikuwa unayachungulia, tena hapa unatupiga fix
 
Alikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
Muliro walimfuata nyumbani akatoweka banah
 
Back
Top Bottom