maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa 29 Oktoba, 2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu

    Bila shaka kila mpenda haki anajua kuwa tarehe 29/10/2026 itakuwa ni siku ya kuwakumbuka mashujaa wetu waliopambana kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika lakini bahati mbaya wakauwawa na hii serikali ya kikoloni Ili kuwaenzi hawa wazalendo yafaa tupeane mbinu za kisasa za kukinukisha ili wakoloni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania ✍️ MTAZAMO: Mimi ni Muumini wa Maandamano, lakini Sitakuwa "Chambo" cha Wanaharakati Njaa

    Tunapoelekea kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokowe na mashujaa wetu tunatakiwa kutathmini makundi haya ya wanaharakati wa mitandaoni. Kama raia ninayeamini katika mabadiliko, haki, na uwajibikaji, siku zote nitakuwa tayari kuunga mkono sauti yoyote halali inayopaza sauti dhidi ya changamoto za...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi Ufaransa: Kama ingelikuwa hapa polisi wangelikwisha UA over a million students!

    Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
  4. JamiiForums Tanzania Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  8. JamiiForums Tanzania CCM wanapenda kupush CCM vs CCM ili waendelee kubaki, msikubali kuchezewa

    Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala. Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
  9. JamiiForums Tanzania Hii hapa tofauti kati ya Maandamano na vurugu.

    Oct29 yalikuwa maandamano au zilikuwa ni vurugu? Haya hapa ndio maandamano https://youtu.be/i26Ae91J380?si=4_KrCM19JMS7N9iR
  10. JamiiForums Tanzania Makonda: Maandamano kuzuia AFCON? Hayatakuwepo, Mtanzania anataka Amani!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amepuuza taarifa na uvumi unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa maandamano ya kuzuia michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), akisisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote na kwamba...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano Syria gharama ya Mafuta kupanda

    Kuanzia mnamo tarehe 13 Septemba Syria imekumbwa na maandamano dhidi ya serikali kupinga gharama za mafuta kupanda. Lakini mzozo unaonekana kuendelea zaidi baada ya raia kudai Alsharaa ajihuzulu kheri utawala wa Assad kuliko wake yeye kwasababu gharama za maisha zinapanda na nchi inazidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya maandamano na vurugu za kisiasa Tanzania ni hii

    Habari ndugu zangu Watanzania Mara nyingi na kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisikia na kuambiwa kuwa Tanzania taifa letu ni kisiwa cha amani, kwamba tofauti na mataifa mengine Tanzania ni nchi yenye utulivu na amani, lakini bila shaka jambo hilo siyo la kweli tena. Kwani Ripoti ya tume ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijana waliotoka JKT walifundishwa kuhusu kutoshiriki maandamano? Baadhi ya vijana wanatishia wengine

    Kuna vijana watu walikuja kumsalimia kijana wangu, kwa bahati mbaya sikua nimewasikiliza mwanzo wa mazungumzo yao ila nikuta wakiwa kwenye ajenda ya maandamno, wakidai kuwa wameambiwa walinde amani. Vijana hao walikuwa kambi ya Kibiti, nikawahoji kwa nini kulinda amani, wakanijibu kuwa...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh178M kwa Polisi Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano: Serikali Yaanza Kulipa Officers Walioathirika

    Zaidi ya Sh178 milioni zimelipwa kama fidia kwa maafisa wa polisi waliofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini wakati wa maandamano na protests nchini Kenya. Kwa mujibu wa Panel of Experts on Compensation of Victims of Human Rights Violations, angalau maafisa 178 wamepokea malipo katika phases III...
  15. JamiiForums Tanzania Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT. Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole? Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi? Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
  16. JamiiForums Tanzania AI: Lissu akifungwa kwa uhaini kutakuwa na taharuki kubwa, maandamano na vurugu za kiusalama.

    Ikiwa Makamu Mwenyekiti (au kiongozi mkuu) wa Chadema, Tundu Lissu, atafungwa kwa kosa la uhaini, hali ya hewa ya kisiasa nchini Tanzania inatarajiwa kukumbwa na taharuki kubwa, migawanyiko ya kiitikadi, na shinikizo kubwa la kimataifa. Kesi hii inayomkabili, ambayo kwa sasa inaendelea katika...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Hakuna Mkenya Anayepaswa Kufa kwa Kukosoa Serikali” - Rais William Ruto Asema Maandamano ya Amani Ni Msingi wa Demokrasia

    Rais William Ruto amesema hakuna Mkenya anayepaswa kupoteza maisha, uhuru au heshima yake kwa sababu tu ya kuikosoa serikali, kutoa maoni yasiyopendwa na wengi au kushiriki maandamano ya amani. Akizungumza katika Kongamano la 16 la Katiba lililofanyika KICC, Nairobi, Agosti 27, 2026, Ruto...
  20. JamiiForums Tanzania Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

    Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…