Hiki ni kituko kingine cha ccm mwaka 2026
Mbona terms za maridhiano zilishawekwa wazi na Gen Z
Hawa watu sijui watuonaje huko
Na viwango vimeshawekwa..
Hii ni aina nyingine ya upigaji
Kibaha kuna viwanda visivyopungua 200 vingi vikiwa ni vya wachina.. Karibia wote wamepelekewa hii barua...
Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025
By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani?
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria wake, imetangaza kuwa ipo katika hatua za maandalizi ya kuanza uchunguzi nchini Tanzania kwa lengo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini Dar es Salaam.
Prof. Shemdoe ameyasema hayo leo Februari 07, 2026 alipotembelea...
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi.
Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa).
Meja...
Viongozi wa dunia wakicheka kwa urahisi kutokana na kutokuwepo kwa Trump na kumpongeza Ramaphosa kwa maandalizi mazuri ndivyo Mkutano wa G20 ulivyohitimishwa jijini Johannesburg.
Rais wa Afrika Kusini alikataa kukabidhi uenyekiti kwa naibu balozi wa Marekani. “Afisa mwenzake kwa kiwango sawa”...
TANGAZO
Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45.
Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina...
Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge.
Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa
Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''
Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard
Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
Baada ya serikali ya DRC kuongeza wanajeshi na mercenaries kutoka Marekani na Ulaya, taarifa za awali, zinasema AFC/M23 imeshazingira Uvira.
Rais wa DRC amesema atahakikisha Kivu zote zinarudi kwa gharama yoyote.
Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025:
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu...
Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda
Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
Habari ndugu wana JF.
Mimi ni muhitimu wa B. Eng (Civil), mwaka 2024.
Nakiri kuwa sijawahi kufanya interview yeyote utumishi hata sehemu nyingine.
Nawaombeni wale mabraza na dada zangu na wakubwa zangu wengine waliopo kwenye fani hii na wana uzoefu na interviews katika nafasi zinazotangazwa...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo leo...
Nikiwa Rais kutajengwa world-class training ground zitakuwa 30 na zitakuwa zinatumiwa na vilabu vya mpira wa Tanzania, na vilabu vikubwa kama real madrid, Barcelona, man City, arsenal et.al kipindi cha pre season
Incentive ambao watapewa timu ikija kufanya pre season Tanzania
Wataenda mbuga...
Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.