maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niwaamini tena TBS, TFDA na wathibiti ubora wengine maana kila nikijaribu kuwaamini inashindikana

    Naombeni ushauri namna ya kuongeza imani yangu kwa haya mashirika wadhibiti ubora! Yamkini wanafanya kazi nzuri sana lakini imani yangu kwao ilishakufa kabisa! Yaani ni mara mia uniambie hiki kitu ni bora kwa reference zingine tofauti na haya mashirika ya ubora tz!. Kila nikiona nembo ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hii alama ya kijani kwenye Instagram akaunti yangu (video call icon) kina maana gani?

    Nahisi pengine nimedukuliwa akaunti yangu ya Instagram
  4. JamiiForums Tanzania Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  5. JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

    Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
  6. JamiiForums Tanzania Majina ya kiarabu na kizungu ndo bora kuliko majina yetu ya asili?

    Ukiitwa Abubakar...unajiona wewe umemaliza, ukiitwa petro unaona hakuna jina hilo andiko gani linasema majina ya kiarabu au ya kizungu ndo mazuri na yanafaa watu kuwa nayo. Uzuzu mbaya sana hii inaleta sana (historia kidogo hapa Tanganyika kabla ya tanzania watu waliokuwa na majina ya kiarabu...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ajira za posta clerk zenye deadline tarehe 02/03/2023 majina ya wasailiwa yanatoka lini?

    Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo ilipangwa deadline kuwa tarehe 02/03/2023 lkn hadi leo tarehe 03/04/2023 hamna jambo.hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

    Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi Bodaboda wanazigawa bure kama peremende?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji. Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT...
  11. JamiiForums Tanzania Dola hutumia nadharia njama kututoa tusijadili mambo ya maana badala yake tujadili uzushi?

    Nadharia Njama (Consipirancy Theory) ni hali ya kuamini kwamba kuna taasisi au watu fulani wanahusika kufanya jambo fulani la siri kwa faida yao. Lakini pia inawezekana ikawa ni hoja fikirishi ya kutungwa dhidi ya kitu fulani lakini hoja yenyewe isiwe ya kweli. Siku moja miaka ya themanini...
  12. JamiiForums Tanzania Haileti maana!!

    Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu kulalamika katika mkutano kwamba wahuni wanamzunguka wanaiba fedha za uma ilihali anawamudu haileti maana kabisa. Miradi yote katika kila wizara inafahamika ni nani anahidhinisha pesa kwa hatua ya mwisho Mikataba yote inaeleweka ni lazima ipite kwa mwanasheria...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maana ya haya maneno yanayotumika sana uswazi

    Tashtiti Sio kivile Mabumashi Kivuruge Bandidu Ushubwada Mgaigai Macho kuona Kausha damu Duka la mangi Harakati Udwanzi
  14. JamiiForums Tanzania Kwanza Ijue Maana Halisi Ya Kutongoza, Ili Usipate Shida Kujiuliza Unamtongozaje Mwanamke

    Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke. Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na wanawake wengi skuizi wamezoeshwa hivi. Wanawafundusha wanawake uchunaji. Wengine wanakesha mtandaoni...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tupunguze vijembe na kejeli kwa wasio kuwepo maana hakuna anayeijua kesho

    Kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na visasi kwa wanasiasa ambao hatunao tena. Masikini wa Mungu hao wanasiasa ambao hatunao tena ukiaangali kwa makini unagunduwa walichokuwa wakikitekeleza ni kwa manufaa yao wenyewe na sera zao sema tu chuki na visasi vinalitesa Taifa. Mtu anadiriki kusema...
  17. JamiiForums Tanzania Sevilla kumfukuza kocha wao maana yake ni ipi?

    Soon wanakutana na manchester united. United tayari imewachapa kaka zake.
  18. JamiiForums Tanzania Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

    Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa. Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM. Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
  20. JamiiForums Tanzania 17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

    Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume). Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…