stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 812
- 1,753
Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version]
*Isaya 4:1
Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; tuitwe tu kwa jina lako tu; utuondolee aibu yetu.
Twende kazi