maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Papillon 1906

    TAMBUA HISIA, KUSUDI NA VITENDO VYA MTU KUPITIA ISHARA MBALIMBALI ZA MWILI

    Zingatia hii, mwili wa binadamu unaweza kuonesha ishara mbalimbali katika kufikisha ujumbe pasipo kutumia maneno kabisa. FBI au polisi wapelelezi wanafanikiwa kuwabaini watuhumiwa wa makosa mbalimbali kwa urahisi zaidi kwasababu ya ishara wanazozionesha wakati wakihojiwa. Zifahamu ishara...
  2. GoldDhahabu

    Nini maana ya self transfer kwenye tiketi ya ndege?

    Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali! Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini? Ni kama inavyosomeka hapo chini. Asanteni!!!
  3. DexterLab

    Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

    salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole, nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
  4. Samia atosha tukutane2030

    Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  5. ELI COHEN

    Ndio maana wale jamaa unakuta wana mapete mengi vidoleni

    Hata mvae nini, tabu ipo pale pale. Tabu ni asili ya mwanadamu katika dunia hii ya ushindani.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  7. GENTAMYCINE

    Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  8. K

    Kafanya la Maana lakini Polepole ni mapepe

    Amefanya maamuzi ya maana sana kujiuzulu lakini kati ya watu mapepe wa kuogopa ni polepole. Alijiona Mungu mtu wakati wa Magu na kunyanyasa watu sana. Alitaka nankuchangia kudumiza democracy sana na ndiyo amechangia sana kwa matatizo tuliyonayo. Leo kaokoka na amekuwa mpenda haki za...
  9. Knock life

    Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  10. R

    Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  11. masopakyindi

    Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  12. Mwachiluwi

    Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Uswege = unisamehe Andungwise = ameniongoza Ambwene = ameniona Mwalugano = mwenye upendo Negwako = niwe wako Andombwise = ame nivusha Tusajigwe = tumebarikiwa Ambele = amenipa Subiraga= tumainia Angetile = amenitazama Andolile = amenitafuta Nkundwe= mpendwa Sekela = furahia Lusako=...
  13. Muimba SINGELI

    Smart911 na Mahondaw tupeni mbinu vijana wenu maana maadui wa penzi letu ni wengi mno

    Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi. Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu. Tunatanguliza shukrani...
  14. GENTAMYCINE

    Prof. Kitila Mkumbo Wewe ni Mtani wangu kutoka Singida, ila kwa 'Upuuzi' kama huu ndiyo maana huwa Nakudharau na siiamini 'Doctorate' yako kabisa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini. Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
  15. The redemeer

    Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  16. K

    Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Kila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri. Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
  17. kavulata

    Kumbe maana ya ‘kukinukisha’ ndiyo hii?

    Hata kama Ruto ataondoka ajae atafanya nn kuboresha maisha yao? Wanabomoa hata kile kilichopatokana kwashida kwa Kodi zao, ndio Martha Karua anataka kutufundisha hivi tuwe kama wao? https://youtu.be/GF2phAJ9_4o?si=tucl1UWNHZzqXZj7 https://youtu.be/fJ5USRBsM-Y?si=2McBkDNFYy6HF8hx
  18. Tajiri Tanzanite

    Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  19. Mikopo Consultant

    Hivi maana halisi ya 'Madhabahu' ni nini? Kwanini Bwana huwapa baraka ya kudumu wanaomjengea 'Madhabahu'?

    Nimejeuka kusoma soma Biblia kwa hii miezi michache, kuna jambo kama limeitekenya akili yangu. Kwanza, kwenye agano la kale, waliopewa uongozi wote waliishia kumjengea Bwana Madhabahu. Nuhu, Abrahamu, Daudi etc etc Na kwenye agano la kale, 'Madhabahu' imetajwa sana. Katika kusoma kwangu, kwenye...
  20. S

    Eeeh! Kumbe ndiyo maana mwanabodi Pascal Mayalla hapati uteuzi!!!!?

    Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu. Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu...
Back
Top Bottom