Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa bodaboda kwa kusajili madereva, kuwapatia namba za utambulisho, vituo rasmi vya kuegesha, na mavazi yatakayoongeza imani na usalama wa huduma wanazotoa...