Kombe la Muungano na maelekezo maalumu

Kombe la Muungano na maelekezo maalumu

Watajua wenyewe sisi hatuhusiki na makombe ya mchangani
1000274937.jpg
 
Timu pekee ambayo laaabdaaa ingeweza kumzuia uto ni Azam ila kama na wenyewe wametoka, naona uto wana uhakika wa kupata kombe la kujifariji nalo.
 
Ni mawazo yangu kwamba kombe la muungano,lina maelekezo maalumu kwamba ni lazima timu za zanzibar zishinde kombe hilo.Hata leo mtaona yanga inatolewa.
Hiu ni dalili ya woga kule hamjahonga ndio maana mnaanza kukalamika baada ya kugundua uwezo wenu ni mdogo sana
 
Kumbuka bingwa mtetezi wa hilo kombe ni timu yako ya simba na ambayo msimu huu imefanikiwa kwa mara ya kwanza kabisa kufika fainali ya kombe la shirikisho (aka kombe la Luza) Barani Afrika!
Nasikia jana mkalia mpk makamasi kufuzu kombe la milioni 50 hahhahahahaha
Kombe la luza huku kucheleeee yani mambo ni motooo..
Tuko top 4 Africa weee kuwezaaaaa?
 
Nasikia jana mkalia mpk makamasi kufuzu kombe la milioni 50 hahhahahahaha
Kombe la luza huku kucheleeee yani mambo ni motooo..
Tuko top 4 Africa weee kuwezaaaaa?
alilia mshery na rafiki yake mshery kwa kuogopa kuambiwa alipeana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom