Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,343
Reaction score
26,902
Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS ACT, mbinu kubwa ikaja ni kuunda chama cha mawakili wa Serikali wapambane na TLS.

Wale mawakili pamoja na mengine mengi, wao wanaingia kwenye mikutano ya TLS ila Wanachama wa TLS hawaingii kwenye miikutano ya hao mawakili.

MADAKTARI VITI MAALUM:
Kwakuwa Watu waliosoma sheria na kufeli na miaka imepita mingi sasa wanapewa "uwakili viti maalum" basi itakuwa vyema na "watu waliofeli udaktari na wamekaa miaka mingi "wapewe udaktari viti maalum!

Vivyo hivyo na walio disco pale COT, UDSM wapewe uandisi ili watusaidie kujenga miji yetu badala ya kuleta wachina .
 
Ili wawepo na walimu viti maalumu,maafande viti maalumu,mafisadi viti maalumu mpaka waandamanaji viti maalumu....

Hii nchi itakua ya viti maalumu sasa tupo msibani Nini au ni viti gani maalum unazungumzia😡
 
Tul

ianza na wabunge, madiwani, mawakili sasa ni maadaktari .
 
Back
Top Bottom