Maajabu ya watu kufanana sura

Bongoclever

Senior Member
Jul 30, 2012
105
11
Habari Zenu Jf Members?
kuna maswal mengi sana huwa najiuliza inakuwaje watu wanafanana sura na ili hali hawatoki ukoo mmoja, unakuta labda 50 cent kafanana na mtu kutoka Kenya. mpaka msemo wa dunian wawil wawil ukaibuka. hii imekaaje asee? mwenye uwelewa wa hii kitu anifafanulie
 
Reincarnation

Kama hii?

images%20(7).jpeg
 
Wanasema duniani kuna watu 6 ambao wanafanana nawe kila kitu na una chance ya 60% ya kukutana nao!
Mimi nahisi nafanana na zaidi ya hao 6 kuna picha tatu nishatumiwa hao nafanana nao hata mimi sikupinga. Acha hao ambao sijakutana nao, yani unakutana na mtu anakuambia unafanana na fulani. Wengine wanakusimamisha kabisa.

Wengine wananifananisha na rose ndauka basi nakosa majibu ni watu macho yao mabovu au kweli nafanana na hao watu
 
Mi nahisi nafanana na zaidi ya hao 6 kuna picha tatu nishatumiwa hao nafanana nao hata mimi sikupinga. Acha hao ambao sijakutana nao, yqni unakutana na mtu anakuambia unafanana na flani. Wengine wanakusimamisha kabisa.

6 ni average
 
Afadhali Umeongea wewe. Hata mimi nadhani nishakutana na zaidi ya hawa 6. Mara nyingi nafananishwa mno.Nilokua sehemu moja karibia wasichana 4 waliniambia nafanana na bwana zao.
Mungu noma sana
 
navyofaham reincarnation ni pale mtu anapokufa then roho yake inauvaa mwili mwingine, lakin hii ya kufanana unakuta wote wapo hai, embu nieleweshe labda vizuri mkuu Mshana
 
Back
Top Bottom