Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.

Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi ya mmoja?
1549265541654.png
1549265459085.png
1549265480223.png
1549265516176.png

 
Duh...hiyo noma...bora wanawake wawili (mapacha) waolewe na mwanaume mmoja...
 
Back
Top Bottom