maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ongezeko la Maafisa ubashiri (Wanaobeti) na maafisa usafirishaji (Bodaboda)..?

    Ni kwamba hizi biashara zinalipa sana au Ni kwa sababu vijana wetu wengi hawana shughuli mjini...? Ni kwa sababu Hatuna njia nyingine ya kufikiri kujikimu kwa mahitaji yetu ya kila siku..? Au ni kwa sababu ya Kuongezeka kwa Gharama za maisha? Ushauri jinsi ya kujinasua au kuzifanya shughuli...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Polisi wawanyanyasa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiripoti maandamano katika makaburi ya Langata

    Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio. Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Maafisa Utumishi acheni kuwa miungu watu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza Maafisa Utumishi wa Halmashauri zote nchini kuacha tabia ya kukaa ofisini badala yake watembelee ofisi za watumishi zilizopo katika Kata na Vijiji ili kutatua changamoto za watumishi...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa ujasusi wa Urusi, yaani FSB walipuliwa ndani ya gari

    Hakuna aliye salama...... SCREENSHOT A car carrying two Russian FSB employees and military personnel has been blown up in the temporarily occupied town of Oleshky, Kherson Oblast. Source: UP sources in the Security Service of Ukraine. Details: One of the FSB employees was killed instantly...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Maafisa wa Jeshi walioagiza Askari kuua Waandamanaji wakamatwa

    Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua Waandamanaji. Kwa mujibu wa Ripoti ya Wizara, Vikosi vya Usalama viliingilia maandamano ya Waumini wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oystebay, leo Septemba 4, 2023. https://www.youtube.com/live/Ft4BQNhtlHE?si=wnu_34cmAx82c_0X Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi 6, Maafisa wa TFS wawili na Walinzi Binafsi 11 watuhumiwa kujeruhi Bodaboda na kusababisha vifo vyao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa Kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Kushikiliwa kwa watu hao kunatokana na tuhuma za kujeruhiwa kwa watu wawili ambao baadae walipoteza...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ghana: Maafisa 27 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kuruhusu nyaraka bandia

    Watumishi hao wametuhumiwa kushiriki katika makosa mbalimbali yanayohusisha nyaraka bandia ikiwemo suala la kughushi visa. Kati ya waliosimamishwa Watumishi watatu ni wazoefu wakati 24 ni Maafisa wa ngazi za chini, ambapo uchunguzi unaendelea dhidi yao. Kati ya wote waliosimamishwa kwa tuhuma...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi waondosha maafisa wa ubalozi wa Sudan, sikujua na wao watakimbia

    Kwa vile ni dhahiri Urusi imeshindwa Ukraine na kuhamisha nguvu nyingi kwenye heka heka za Afrika, sikujua na wao hukimbia kikinuka kwenye bara hili............ Russia says it has evacuated staff from its embassy in Khartoum, citing the high security risks to personnel amid the ongoing...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Posta Tanzania wakutwa na kesi ya kujibu kuhusu kusafirisha Dawa za Kulevya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu, maofisa watatu wa ulinzi wa Shirika la Posta Tanzania, wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na bangi. Maofisa hao ni George Mwamgabe, Sima Ngaiza na dereva wa Shirika hilo Abdulrahman Msimu. Washtakiwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Rorya awaasa Maafisa Uvuvi kuacha kuchukua mitumbwi ya wavuvi

    "Mheshimiwa Rais kwenye bajeti ya mwaka 2023-2024 amesema, Mfanyabiashara yeyote anayedaiwa kodi kwamba hajalipa TRA ni marufuku kumfungia biashara yake. Hii itumike kwa Wavuvi, Mvuvi ambaye hajalipa Shilingi 5,000 anahangaika kuvua apate Shilingi 5,000 akulipe hatuoni sababu ya kukamata chombo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
  13. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga alivyo wahadaa Maafisa wa CIA

    Ni mwaka 1974 kulitarajiwa kuwa na pambano kubwa sana kati ya Muhammad Ali na George Foreman. Wakati huo, promota aliyekuwa akija kwa kasi, Don King alikuwa amekwishaandaa kila kitu kuhusu pambano hilo. Kwa ajili ya msalahi yake, Don King alitaka mtu yeyote atakayejitolea kulidhamini pambano...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na watu wanaojiita maafisa wa bima Kwa waendesha pikipiki wilaya ya Mbogwe kinapaswa kuangaliwa kina sasa

    Kinachofanywa na maafisa bima wilaya ya Mbogwe kinatia mashaka sana kwa wamiliki wa pikipiki na kwa waendeshaji wengine wa pikipiki kwa jina maarufu bodaboda katika wilaya ya Mbogwe. Niliwahi kutoa malalamiko ya aina hii lakini Kwa Sasa naona ni kama historia inajirudia. Ukusanyaji wa hela za...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wahasibu wasiwe wanahusishwa kesi za wizi wa manunuzi, upigaji huwa unafanywa na maafisa manunuzi, wahasibu huwa wanatoa pesa tu na hawana kosa.

    Afisa manunuzi anaenda kwa muhasibu kuomba kupewa Bilioni 2 amlipe mkandarasi tenda ya ujenzi, hio kazi ya kwenye tenda ni wazi kabisa kiuhalisia haivuki hata milioni 200 lakini muhasibu akijaribu kufungua mdomo ataambiwa afanye kazi yake hayo mambo ya manunuzi hayamhusu, hapo muhasibu anaingia...
  16. mfate42

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Same na Maafisa wako mjitafakari. Je, mnatosha kuendelea kuwepo kwenye Ofisi zenu?

    Kiukweli naandika kwa machungu sana post hii huku ndugu zangu wa karibu kabisa wakiwa wameacha kazi kwa uzembe tu wa viongozi wachache wa halmashauri ya Same kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao. Barua za watumishi hamtaki kuzisaini. Mkisaini huwa mnakomenti vibaya mno. Na mbaya zaidi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa 27 wasimamishwa kazi kwa kuingiza Sokoni Sukari iliyoharibika

    Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Utumihsi wa Umma, Felix Koskei dhidi ya Mdhibiti Mkuu wa Viwango Nchini Kenya na Maafisa wengine 26 wa serikali waliohusika na kutoa Vibali vya kuruhusu kuuzwa Tani 1,000 za Sukari iliyokwisha muda wake. Taarifa imeeleza kuwa mifuko 20,000 ya Sukari iliingizwa...
  18. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi ambao ni approvers wa HCMIS wasiendelee kusababisha hoja hii ya ukaguzi, imekuwa zaidi ya kero

    Wakuu, Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini; Matumizi...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    "Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini. Chanzo: Jambo TV === Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
Back
Top Bottom