luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

    KUNA tetesi kuwa baada ya Spika wa Bunge leo 28/6/2023 kumtangaza bungeni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwa alikuwa sahihi kuhusu kutotekelezwa kwa maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Mawaziri Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wamekutana kwa kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Mpina ajibu mapigo, asema Mwigulu hana sifa ya kuwa Waziri. Adai anakopa hadi pesa za semina ilhali kuna matrilioni hayajakusanywa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Mwigulu amesababisha matatizo makubwa kwenye SGR zaidi ya trilioni 4. Luhaga amesema Mwigulu hatakuwepo kwenye nafasi ya uwaziri labda kwa neema ya Mungu akidai hana sifa ya kukaa kwenye nafasi aliyonayo. Mpina amedai Mwigulu amepiga ngonjera kwenye hotuba...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina achambua hoja 13 Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023 1. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
  5. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ndugu watanganyika ninaombeni mumsamehe Luhaga Mpina kwa kupima samaki kwa rula, kila mwanadamu ana mapungufu yake

    Ndugu zangu watanganyika, Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika, Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika, Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga mpina mbunge wa kisesa kwenu. Hakika japo hajakili alilo lifanya lilikuwa na mapungufu makubwa kwetu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Luhaga Mpina hakuchangia bungeni azimio

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kwanini hakuchangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai? Naomba mwenye kufahamu atusaidie. Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiomba dua baada ya kuzuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na mmoja wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya Luhaga Mpina mkataba wa DP-World

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aivaa Wizara ya Nishati, asema imevunja sheria kwenye majadiliano ya LNG

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 Changamoto kwenye mradi wa LNG: (i) Hakuna taarifa ya kufanyiwa mapitio ya PSA katika vitalu na 1, 2...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 aliyoyaona Luhaga Mpina Wizara ya Nishati

    MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2023/2024 BUNGENI DODOMA TAREHE 1 JUNI 2023 1: UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, nichukue nafasi hii kukushukuru sana kwa nafasi hii uliyonipa nami...
  10. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

    MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakishinikiza kurudishiwa ardhi yao ekari zaidi ya 1000 zinazodaiwa kuchukuliwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Makama na Mwigulu hawahusiki kuchafuliwa kwa Mh Luhaga Mpina

    Baada ya tukio la jana na juzi kwenye vyombo vya habari kuhusiana mgogoro wa ardhi kati ya Mpina na wananchi huko Morogoro, Waziri wa Nishati, Januari Makamba na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wamesema hawahusiki kufadhili fedha kwa ajili ya mpango huo wa kumchafua Mpina. Hata kama DC wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Video: Mpina akiwasha tena Trilioni 2 za SGR, ataka mkandarasi atimuliwe

    Mpina akiwasha tena Sh2 Trilioni za SGR ataka mkandarasi atimuliwe; Naibu Waziri amjibu
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, songa mbele, kichwa chako umekijaza maarifa na akili kubwa, elimu yako unaitendea haki. Wapuuze hao wabunge vilaza

    Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa. Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina. Mbunge hajui hata...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Member of Parliament Luhaga Mpina, Your Dream of Being a Famous MP in Tanzania has Come True: Nenda zaidi

    Today, if you are asked to name a famous MP in Tanzania who builds logical arguments, you will not fail to mention MP Mpina. He has shuffled his cards well and used his position effectively in this period, and did not choose to sit on the side of honey-lickers. He has decided to stand with the...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mpina, Panya anayejaribu kumvisha paka kengele!

    Kuna usemi unasema, "Usimuone kima mjini ukamrushia jiwe (yaani hakufika pale peke yake)." Pale bungeni wapayukaji ni wengi, lakini zinapotokea 'sensitive issues' kwa maslahi ya taifa katikati ya hao wapayukaji kuna watu maalum huandaliwa kuongea facts kwa data. Hao waandaaji ndio hutoa data...
  18. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina alikuwa Waziri Kigeugeu. Je, vigeugeu wanatufaa kama Taifa?

    Huyu ni moja ya waasisi wa falsafa ya "wewe ni wewe daima hakuna kama wewe baba hapa Tanzania" Luhaga Mpina ni vigeugeu kama vigeugeu Wengine, Huyu anatafuta chakula. Alipiga kelele wakati huo akapata uwaziri, Baada ya kupata alijaa kiburi na dharau. Ashakumu sio matusi huyu ni mfuasi wa...
  19. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

    Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba. Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki. Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina. Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali. Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero...
Back
Top Bottom