luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. M

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, shikilia hapohapo

    Ndugu Mpina. Unaupiga mwingi sana. Kinachonifurahisha, unahoji mambo ya msingi sana, na hivyo ndivyo inavyotakiwa. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya wewe kugusia ishu ya katiba mpya. Nimefurahi kuona kuwa, umegundua kuwa mzizi wa fitina wa mambo yetu kuwa hovyohivyo ni kwa sababu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

    Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima? Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko? Tupe majibu watanzania
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hongera Luhaga Mpina kwa kuwa na akili na utashi wa kibunge

    Wasalaam JF Pongezi kwa ndugu Luhaga Mpina kwa namna anavyowasilisha hoja zake, michango yake, mantiki na maudhui, anakuwa na hoja na mapendekezo. Uwakilishi halisia wa kibunge, Mungu ambariki sana, na anatoa taswira nzuri ya uwepo wa watu wenye akili na utashi wa kibunge ndani ya Bunge letu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aanika Bungeni Ufisadi wa Trilioni 1.7 Mkataba wa SGR Tabora - Kigoma

    Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina (Mb) akichangia kuhusu taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kilimo Mifugo na Maji kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Januari 2023 Bungeni Dodoma tarehe 31 Januari 2023 Mheshimiwa Spika...
  7. voicer

    JamiiForums Tanzania Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

    Ilianzia hapa! [emoji116] Kisha ikafuatia hapa! [emoji116] Kisha sikiliza hoja ya Mpina! [emoji116] Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi! Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini! Anaziona...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina vs Tundu Lissu, nani ni Mzalendo wa kweli?

    Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala, bodaboda nk hupaki pembeni ili wamsikilize Ndio najiuliza wawili hawa ni wazalendo kweli kweli au ni...
  9. voicer

    JamiiForums Tanzania Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

    Huu ndio ukweli halisi! Mheshimiwa Luhaga Mpina, mbunge wa Jimbo la kisesa, alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live, serikali ya chama chake cha CCM. Akatohoa kila kitu kutokana ndhila wanayopitia Watanzania. Kutokana na upandaji holela wa bei za bidhaa nchini. Lissu na...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Ziwa Victoria linaenda kubakia kuwa swimming pool

    Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

    Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
  12. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

    PANGA LA NEC LAMFYEKA LUHAGA MPINA- JINA LAKE LAENGULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC. * Mambo 11 yaliyomponza yatajwa HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ewe DOLA, ikikupendeza 2025, Tuleteeni Luhaga Mpina

    Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi . Ewe DOLA, inawezekana Kuna walamba Asali wamejipenyeza mpaka huko ndani. Ila DOLA, Kwa kunionea huruma tu Nchi hii, na...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema, aliyechaguliwa kutoka mkoani Rukwa na Mbunge mwingine wa upinzani kwa tiketi ya CUF toka mkoani Mtwara. Kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi atueleze kutoka Trilioni 360 hadi bilioni 700

    Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati. Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wapo wabunge watetezi wa Watanzania mmoja wapo ni Luhaga Mpina

    Anamtetea nani
  17. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aipongeza serikali kwa kuendelea kununua ndege, aishauri sasa ijikite kwenye ndege za mizigo

    Yule mbunge machachari mh Mpina ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kununua ndege aishauri sass ijikite kwenye ndege za mizigo. Source Star tv bungeni
  18. PRINCE CROWN

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina anazidi kutufumbua macho Watanzania

    Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa kisingizio cha vita ya Urusi. Kusema ukweli Mimi namuunga mkono Mh mpina hali ni mbaya sana mtaani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mpina: Spika Tulia unda Tume za Bunge kuchunguza 1. Kuchelewa Bwawa la Nyerere 2. Kupanda bei za mafuta 3. Bei za Mbolea

    Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri: Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori chungu nzima? Pili amewataka wabunge wakatae pendekezo la kuruhusu Waziri wa Fedha awe anatoa...
  20. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

    Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na Symbion, bilioni 70 za mkataba wa maendeleo ya tehama Tanesco na Mahindra ya India, mkataba mpya...
Back
Top Bottom