Baada ya tukio la jana na juzi kwenye vyombo vya habari kuhusiana mgogoro wa ardhi kati ya Mpina na wananchi huko Morogoro, Waziri wa Nishati, Januari Makamba na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wamesema hawahusiki kufadhili fedha kwa ajili ya mpango huo wa kumchafua Mpina.
Hata kama DC wa Morogoro ni Ndugu yake na Festo Sanga ambaye ni MSAIDIZI wa MWIGULU NCHEMBA lakini mh mwigulu hahusiki na kuratibu suala hilo kwani yuko bize kuandaa bajeti kuu ya serikali na mh Makamba naye yuko bize na kuandaa bajeti yake kesho bungeni.
"hizo tuhuma kwamba Mwigulu na Makamba ndio wamefadhili huo mkutano wa kumchafua mpina sio wa kweli na vyombo vipo vinaweza kuchunguza kujua ukweli wa jambo hilo, hiyo ni ziara ya kawaida ya mkuu wa wilaya ya morogoro kusikiliza kero za wananchi" amesema mmoja wa watu wa karibu wa makamba na mwigulu.
Baada ya taarifa hiyo kutoka kwenye vyombo vya habari watanzania wengi waliihusisha na mambo ya kisiasa na kuwayaja mwigulu nchemba na makamba kuwa ndio wametoa pesa nyingi kulipa waandishi wa habari na kuwalipa watu wa kuongea kwenye mkutano.