lugha

  1. JamiiForums Tanzania Lugha pekee ambayo binadamu anaielewa ni ubabe na kipigo tu

    Huwa tunajidanganya sana kuwa binadamu ni kiumbe aliyestaarabika. Kwamba ni kiumbe anayesikiliza reasons. Kujidanganya kabisa. Kwenye saikolojia kuna kanuni inasema, "Mind gets what it want." Kuwa akili inapata inachotaka. Mfano. Kwenye mechi ya Simba na Yanga. Mshabiki wa Yanga atasema ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Warusi na wa Ukraine ni kabila moja na hata lugha zao zinashabiana

    Mzuka wanajamvi Ukiondoa ukristo wa Orthodox na ukatoliki kwa mbali Hawa watu ni ndugu moja (ethnicity) wametoka Jamii moja ya slavs na lugha zao zinashabiana wote Hawa Russians, Ukrainians, Belarusian, moldovan, poles, slovaks, slovenes, Bulgarians, zchecs, serbs, makedonians, croats...
  3. JamiiForums Tanzania Siku ya Lugha Mama Duniani: 40% ya watu hawatumii Lugha wanazozielewa katika kujifunza

    Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja Kwa 2022 Siku ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Kiswahili yainuka huku lugha hiyo ikitambuliwa zaidi

    Kiswahili ni moja ya lugha zinazoendelea kukua na kuwavutia wazungumzaji wengi duniani. Hivi sasa Kiswahili ni miongoni mwa lugha kumi zinazozungumzwa na watu wengi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200. Baadhi ya wazungumzaji hutumia Kiswahili kwa shughuli rasmi wengine wakitumia...
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa za Ikulu kwa lugha ya Kiingereza za nini wakati sisi ni Waswahili asilia?

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeibuka na mfumo mpya wa kujulisha umma Serikali inayoyafanya kwa njia ya Kiingereza. Hii imeminya umma usiojua Kiingereza kutojua yanayoendelea nchini Tabia kama hii naona ni bora Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais. Zuhura Yunus atambue kuwa kwa sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Kiswahili chatambulika kama Lugha rasmi ya Kikazi ndani ya Umoja wa Afrika

    Muungano wa Afrika (African Union) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Lugha hiyo huzungumzwa katika nchi kadhaa za Mashariki mwa Afrika pamoja na jamii za Waswahili katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Oman. Huu ni uamuzi ambao umekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Wachagga wanaongea lugha moja?

    Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? –...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kutangaza kwa lugha nyingi na kukumbatia teknolojia kutadumisha umuhimu wa radio

    Na Ronald Mutie Tarehe 13 Februari ni Siku ya Radio Duniani, na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limechagua kauli mbinu ya Siku hiyo kuwa ni “Ndio kwa Redio, Ndio kwa Uaminifu”. Tafsiri yake ni kwamba, bado radio inaendelea kuwa chombo muhimu cha kupasha...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

    Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana. Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Aibu: RFA wamejiunga na DW redio ambayo inatangaza kwa lugha ya ajabu

    Sasa hivi ni saa moja usiku na dakika 5 , kwa muda wa dakika tano inaoenakana RFA studio hakuna mtu kuna DW lugha gani sijui kifaransa au kipashtun kiko hewani and nobody cares Its a shame Diallo kafikia hatua hii
  11. JamiiForums Tanzania Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wapewe 'option ' kutumia lugha wanayoitaka

    Hello JF Away from Ndugai news. Leo nimejikuta nawaza kwa nini viongozi wasipewe option ya kutumia lugha ambayo ni rahisi/wako comfortable nayo kuitumia? Najua kingereza ni kama PRIDE fulani, always tunamu admire mtu mwenye kingereza kilichonyooka ila tunasahau muundo wetu wa elimu ni mbovu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

    Matumizi ya javascript yanaendelea kukua kila siku kwa kuwa ndio lugha pekee inayoweza simama pekee yake pande zote mbili yaani frontend na backend aiseh nafikiri uwepo wa node. JS ni sababu moja kubwa ya javascript kuwa na sifa hii na kuinuka kidedea mara kwa mara. Mimi sina mengi nachangamsha...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nadhani viongozi wote mliofanya mikutano ya kimataifa mmeona changamoto ya lugha.

    Tuchague lugha moja ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Ningekua mimi ni kiongozi maramoja ningechagua lugha moja iwe ya kufundishia kuanzia shule ya chekechea mpaka chuo kikuu. Nilipata kuhudhuria kongamano moja tulikua nawaganda kwakweli sisi kiingereza kinapiga chenga na hata...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

    Salaam! Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe. Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями? Natanguliza shukran!
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waache walime hata wakilima ndani ya Maji: Awamu ya 5 na 6 - Lugha Inapogongana

    Clip hii hapa chini inajieleza: Yetu macho.
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…