Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF
Away from Ndugai news.
Leo nimejikuta nawaza kwa nini viongozi wasipewe option ya kutumia lugha ambayo ni rahisi/wako comfortable nayo kuitumia?
Najua kingereza ni kama PRIDE fulani, always tunamu admire mtu mwenye kingereza kilichonyooka ila tunasahau muundo wetu wa elimu ni mbovu hautoi watu wenye weledi wa hio lugha unless wale privileged wachache wanaoenda English-medium schools.
Anyway leo nilikua naomba viongozi wapewe ruhusa ya kuongea lugha nyingine yeyote ambayo wako comfortable nayo, ni bora mtu ameze PRIDE yake aongee kiswahili ,kuliko kuongea kingereza ambacho mwisho ni embarrassment. I believe viongozi wetu wamesoma, wapewe nafasi kuwasilisha waliyo nayo kwa wepesi.
Mwisho ningependa serikali yangu iangalie uwezekano wa kufundisha mashuleni kuanzia shule ya awali, mpaka chuo kikuu kwa lugha ya Kiingereza, umuhimu wa kufanya hivyo upo kwako mama Ndalichako both as academician and personal experiences unajua wapi gap lilipo, English isiwe kwa watoto wachache more privileged, bali iweke kama ni haki ya kila mtoto wa kitanzania. I believe its possible.