lugha ya kiswahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mag3

    Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

    Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW! Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
  2. DON YRN

    SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
  3. Yahaya Abdallah Sadallah

    SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
  4. dosho12

    SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  5. ASIWAJU

    Kwanini lugha ya Kiswahili haitumiki kufundisha kwa ngazi zote za kielimu?

    Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums: Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022. 1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
  6. Roving Journalist

    Prof. James Mdoe: Lugha ya Kiswahili ina wazungumzaji takriban milioni 250, sasa kupandishwa Mlima Kilimanjaro

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
  7. Sildenafil Citrate

    Maxence Melo: Tunaandika barua kwenda Google ili itambue maudhui ya lugha ya Kiswahili

    Picha: Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamiiforums Maxence Melo amesema taasisi hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Habari na Mawasiliano wapo kwenye hatua za mwisho za kuiandikia barua kampuni ya Google ili iweze kuitambua lugha ya Kiswahili katika utoaji wa maudhui. Amesema kwa sasa...
  8. K

    SoC02 Sababu za kukua kwa lugha ya Kiswahili Kimataifa na kudumaa nchini

    SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
  9. tenachew

    SoC02 Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika

    Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini? Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
  10. S

    SoC02 Usanidi wa programu ya lugha ya Kiswahili

    Habari wana Jamii Forum. Naitwa Suzana, fani yangu ni uandishi wa habari mbali na hilo, ni mtunzi wa kazi za fasihi na zisizo za kifasihi. Moja kati ya changamoto zinazonikumba ni suala la kupata wahariri wazuri wa kuhariri kazi zangu kabla ya kuzisambaza kwa watumiaji. Wataalamu wa kazi ya...
  11. MAKA Jr

    SoC02 Tunahitaji majukwaa ya kukuza fasihi ya Kiswahili

    Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022) UTANGULIZI Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  13. ommytk

    Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  14. Cannabis

    Athuman Maige, Mbunge wa Tabora Kaskazini aomba serikali ifanye utafiti mahususi kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania

    Mbunge wa Tabora Kaskazini, Mh. Athuman Maige ameitaka serikali kufanya utafiti wa kina kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania. Mbunge huyo amesema "Ziko tafiti zaidi ya 40 zimefanyika na zote zinasema lugha inayofaa kufundishia Tanzania ni Kiswahili, naomba serikali ifanye tena utafiti...
  15. WilsonMwalukasa

    Kama Kiswahili ndio lugha ya Taifa, Serikali ihakikishe kinatumika katika nyanja zote muhimu ikiwemo Elimu

    Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha. Au hata lugha Moja tu kwa ufasaha na usahihi. Ni kwa sababu ya uwepo wa lugha mbili ambazo, hupokezana na huingiliana kwenye...
Back
Top Bottom