Story #1:
Once upon a time, there was a young couple named John and Sarah who fell deeply in love with each other. They met in college and soon became inseparable. They shared everything together, from their favorite foods to their most profound hopes and dreams.
One day, John surprised Sarah...
HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI.
Anaandika, Robert Heriel
Asome kuanzia mwenye miaka 18.
Nakupa Tips chache tuu.
Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia.
Hata twende Sawa!
1. Tawala presha na Mzunguko wa damu kwenye Uume.
Tayari upo na mwenzi wako kitandani...
Haya umeoa halafu mchepuko wako unamwambia I LOVE U hivi mnamaanishaga?😆
Au mnamsemaga ili mpewe mzigoo , jingine hamuogopi kuleta magonjwa nyumbani?
Unajisikiaje unamke mrembo , anakuheshimu, kukupenda mbwa wewe halafu kutwa gesti na wasichana za watu. Hutulii
Tulia maisha haya ni yakuwa na...
Here are 12 special personality traits that people who like to be alone possess.
People who enjoy solitude often have unique and special personality traits that set them apart from those who prefer social interaction. While they may be misunderstood as being unsociable or lacking social skills...
Valentine's Day is a special day dedicated to celebrating love and affection between intimate partners. This holiday is widely celebrated around the world and offers an opportunity to express love and appreciation for that special someone in your life. While the traditional approach to...
Wapenzi watazamaji , na mnaomchukia unique flower kipenzi changu kinasafiri Kiko hapa mswety I love u so much safari njema.💕❤️
My heart beat
My kindness
My unique flower my life my water .
Come back soon 2weeks ni mbali sana mwaa💞💞💞🥰
Iko hivi nimefanya research simple tu ya hii kitu. Ukitaka kupiga na kusepa au nothing serious utashangaa tu unatumia pesa nyingi sana kwa mwanamke. The long term relationships mostly if not all, are cheap, yaani mna vibe tu mnalink up and it goes.
What to learn; Never put economy effort on...
Mwanamke akishapenda huwa anasahau kila kitu na anaenda kwa hisia pekee.
Yaani kuna mwanaharakati mmoja anaandika sana mitandaoni, lakini akija huku ni tofauti kabisa kwasababu amezama kwenye mapenzi.
Ni dhahiri kwamba mwanamke ni mwaminifu kwa hisia zake tu.
Love me the way I am. Ni sentensi moja ya kipumbavu sana, wanawake wanatumia hasa pale akijua ana tatizo na hataki kulitatua.
Kuna situation hiyo statement inaweza kua na mantiki mfano una chongo, au ulemavu wa aina yoyote ile ndio unaweza mwambia mtu love me the Way I am.
Ila kama...
SUMAYA FATE OF LOVE
SEHEMU YA PILI
Lakini alijitahidi asioneshe hilo kwa Mama yake lakini damu ni nzito kuliko maji Zuleya aliitambua vema hali aliyonayo Sumaya nae alificha hilo mpaka atakapo pata nafasi ya kuzungumza nae kwa uzuri zaidi na hata hivyo tabia za Sumaya hazikuwa tofauti sana...
Ni simulizi inayohusu familia, mapenzi, kazi na safari ya maisha kwa ujumla.
Ungana na mimi katika simulizi hii…..
SEHEMU YA KWANZA
TANZANIA
1995
“Pushhhhhh!!!!!”
“Mrs Hernad jitahidi sukuma mtoto yupo karibu kutoka jitahidi yaani bado kidogo tu.. sukuma!!!”
“Nurse I can’t.. do it anymore…...
Na hapa ndiyo Kosa Kubwa Marais wengi Wateule hasa wa Barani Afrika huwa mnafanya kwa kuja na Honey Speech zenu tena za Kusisimua na kutia Moyo ila implementation huwa ni Zero.
Rais Mteule wa Kenya Dk. William Ruto baada ya kukusikiliza Kiumakini na Hotuba yako ambayo kwa 90% imelenga Uchumi wa...
Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili.
Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke.
1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu.
Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia.
Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo?
1 KOR 13
Karama ya Upendo...
KARMA says;
You'll certainly fall in love with someone who doesn't love you at all. Infact you'll be his/ her pet hate...she/ he will hate you with a great passion
....Just because you didn't love back someone who loved you so much before.In this case,KARMA will be playing its role in terms of...
Habari za jukwaani,
NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano,
Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa Rangi...!
Naomba Kwa aliye muelewa na aliye tayari aje PM tufahamiane zaidi
LOVE BITE
♥️🔥
SEHEMU YA KWANZA ( 01 )
Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe.
Wengi ambao walikua wanapenda taarab basi walijazana travertine hotel kuwaangalia jahazi.
Kwa wengine wanaopenda bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.