lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lisu mahakamani: Tujuzane nini kinaendelea leo.

    Hakuna farasi, mbwa, polisi na mambo kama hayo? : Ok kumbe leo kuna kesi ya wazanzibar kupinga mgaanyo wa mali za chadema https://www.youtube.com/watch?v=Do9923cZGMg
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kansela mpya wa Ujerumani kumbe ni rafiki na Tundu Lissu? Namuona FW de Klerk mweusi akinyanyua mikono

    Makabuli weusi nawaona wakianza kutafutana na hasa yule FW de Klerk mweusi wa Tanzania. Ni wakati sasa wakuwanyosha hawa Makabulu na sana kiongozi wao FW de Klerk anapaswa kufundishwa utawala wa sheria.
  3. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuruhusiwa watu kwenda kusikiliza kesi ya Lisu : chadema kuna mtego wametegewa! Ngoja niwasanue sasa

    Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu .. Sasa iko Hivi.. Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe. Wanakuja na plan B... Kumbuka katika zile amri za mahakama pia ipo ile ya kuwa watulivu na kutofanya fujo aina...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tahadhari tu: Wanasheria wa Lissu kuweni macho zaidi ya hivi sasa

    Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu, by 99.9999999% wahusika unaweza ukawatambua/ ukawahisi. Bwana Mungu awawekee mkono wa ulinzi wake.
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa umoja wa ulaya waonyesha mshikamano na Tundu Lisu

    Sauti zinasikika Hadi European union
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kesi Ya Mh Lisu , iwe hapa ndio Maakamani

    Embu wakuu tuiendeshe kesi hapa kivyetu, naamini kuna wapenzi wa sheria majambazi yaani tupo hata sisi tunaopenda kuhudhuria mahakamani kusomea ubishi na hoja. Hakimu anza kutusomea kosa au Mheshimiwa Lisu anashitakiwa kwa kosa gani. Mimi ni msikilizaji au nimhudhutiaji japo polisi walijaribu...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Lisu apimwe akili

    Si semi kwa kumchukia inawezekana serikali inamkamata mtu aliye kuwa na kasoro kwenye akili. ,Utaalamu wa kidaktari unakubali kuwa kila binadamu ana uwendawazimu kwa kiasi fulani,hakuna asiekuwa nao. Lugha ingine wanaweza ita hasira. Unaweza kumkuta mtu anakunja suruali mguu mmoja,mwengine...
  9. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka siku Mbowe alipotaka kulitumia kanisa kutaka kuvunja katiba na akashindwa.Sijui itakuwaje kwa Lisu baada kanisa kurudi tena.

    Chadema chini ya Freeman Mbowe walibadili ajenda ghafla baada ya kufa kwa kada wao na kufanya vuguvugu la kutaka kumpindua raisi aliye madarakani. Siku ilipofika wakamuingiza chaka mpaka baba askofu ambaye alitumia redio za kanisa kuwashawishi wafuasi wa Chadema wajiunge kwenye maandamano.Kwa...
  11. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Lisu kuwa gerezani chini ya serikali ya Mama Samia kunaweza kuleta Ufa kwenye Muungano!

    Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya. Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tafakari Ya Mateso ya Lisu Kwa Siku Hii Ya Ijumaa Kuu.

    Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila anayetangazwa kuwa amechaguliwa kuwa kiongozi, awe amechaguliwa kweli, na ili watu wasiumizwe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila anachosema Lissu wafuasi wa CHADEMA wa sasa hivi wanashangilia tu, bila kupima kama kina faida au hasara kwa chama chao au jamii

    Yaani wengi wamekua kama hawana bongo vichwani mwao.mtu mmoja ndio amekuwa think tank ya chama. wengi wamekuwa na sifa za uchawa.hawajiulizi,hawahoji,hawafikirii,hawakosoi wala hawashauri chochote. Wao kila asemalo na atendalo mwenyekiti wao ni ndio na vigelegele. Mbaya zaidi zaidi hiyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ana kesi ya kujibu. Kila aliyemsikiliza analiona kosa

    Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake. Wengine walifika kusema Lissu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila...
  15. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Lissu omba msamaha yaishe!

    1. Kuwa mstaarabu, usishupaze shingo, kiri uliteleza, omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu. 2. Wananchi wamegoma kuibiwa kupitia tonetone, wamechagua maendeleo ya kweli
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dunia yatangaziwa Lisu kukamatwa na kubambikiwa kesi ya uhaini

    Hii ni kumchafua Rais Samia kwa waliomshauri amsweke Lisu ndani na kumfungulia kesi ya UONGO ya uhaini. I am convinced that such a serious case for the chairman of the main opposition party cannot go without her knowledge and consent! Aikande Hichilema alifanyiwa haya haya, mahakama Kuu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Muasi au Mhaini? Ipi ni Kesi ya Msingi?

    Hamjambo watu wote! Lissu ni Muasi au Mhaini? Muasi ni mtu anayepinga au aliyekinyume au asiyemtiifu kwa Watawala au Kikundi Fulani. Lakini sharti Muasi awe sehemu ya hicho Kikundi. Yaani kama wewe ni CHADEMA alafu ukawa kinyume na CHADEMA au ukapinga Jambo Fulani ndani ya CHADEMA. Ambalo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

    Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!! Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu...
  19. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Kila anayemwangalia Lissu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lissu ni mwanaharakati

    GTs, Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali. Lakini swali kubwa ni hili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ingredients of treason: Kama kweli Lissu atashitakiwa kwa kosa hilo. Je, kweli amelitenda? Tujielimishe kidogo

    KISANGA,JA, RAMADHANI, JA, And LUGAKINGIRA, -J.A.) We have to be clear in our minds what treason is. What does it entail generally: against who can it be carried and by whom"-:' The Concise dictionary of Law defines treason as ‘-Conduct comprising a breach of allegiance owed to the sovereign...
Back
Top Bottom