lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

    Wakuu heshima sana, Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima. Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na...
  2. GE2020 Namshauri Lissu asifanye kampeni, panakaribia kucha

    Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona. Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia. Kila mtu anaona injustice inayotokea. Ni ushauri tu, kwani nakumbuka umepitia mengi.
  3. GE2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

    Salaam Wakuu, Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta. Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta. Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni ====== UPDATES: 16:54HRS...
  4. M

    Adhabu ya Tundu Lissu kuanza siku atakayopewa barua ya hukumu ya Tume

    Bila kujali adhabu ya Tume ni halali au ni batili adhabu ila ni ya kisheria. Sasa adhabu za namna hiyo zinaanza pale ambapo umepewa taarifa ya ya hukumu. Kifungu 19(2) cha Law of Limitation Act, [Cap. 89, R.E. 2002] kinasema hivi, "In computing the period of limitation prescribed for an...
  5. E

    Sizielewi taasisi zinazohusika na kipindi hiki cha uchaguzi, hasa dhidi ya Lissu

    Matendo yanayofanywa na Taasisi za serikali, hasa NEC na Polisi, yanamuongezea Mh. Tundu Lissu mgombea Uraisi kupitia CHADEMA Umaarufu wa kisiasa. Wananchi na Raia wengi kwa ujumla wanafuatilia Kampeni za Uchaguzi mkuu huu wa 2020. Kwenye kufuatilia wanaona/tunaona namna wagombea wanavyofanya...
  6. Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari muda mfupi ujao

    Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni. ----- Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari Chief, habari za muda huu? Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  7. Magufuli na sengeli, Tundu Lissu na Reggae

    Kuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa Reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kuleta watu pamoja. Muziki wa sengeli ni muziki wa kihuni, wa watu waliopoteza tumaini, wasio na dira wala mwelekeo. Maudhui ya sengeli ni matusi...
  8. GE2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

    Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka...
  9. Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

    Moja kwa moja kwenye mada... Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda. Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
  10. Z

    Ambassadors meeting with Tundu Lissu should also meet with other presidential candidates

    I do not know the motive behind about the meeting of Tundu Lissu, the Chadema presidential candidate with ambassadors representing their countries in Tanzania. Is the meeting called upon by the said ambassadors or Tundu Lissu himself? In the letter released yesterday by the American...
  11. M

    GE2020 Msafara wa Mgombea Mwenza CHADEMA, Salum Mwalimu wapigwa mabomu Ifakara

    Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana. Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
  12. Lissu yuko sahihi - yafaa tujifunze kuishi na "mabeberu"

    Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi. Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya...
  13. GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
  14. GE2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

    Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...
  15. Tundu Lissu v/s Bernad Morrison, hapa hakuna namna ya vibaraka kuhamisha attentions za watu?

    Kutokana na ukubwa wa simba na yanga pale unapoanza mgogoro baina yao huwa unachukua hisia za watu wengi sana. Je, katika kipindi hiki ambapo Wakili msomi Tundu lissu anafanya vizuri kwenye kampeni sio kwamba watawala wameamua kuanzisha mgogoro ambao utahamisha hisia za wananchi kwenye kampeni...
  16. GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
  17. Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

    Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam ====== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
  18. Wapiga kura hatutishwi na hoja ya kunyimwa maendeleo, tutamchagua Lissu.

    Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu. Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu. Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi...
  19. T

    GE2020 Lissu dume la ng'ombe analolichinja halifungiki kwa kamba. Japo litakata roho lakini mateke yake lazima yamjeruhi.

    Kuondoa vyama tawala madarakani ni shughuli pevu hasa kwa nchi za Afrika. Vimekumpatia mfumo usio wa usawa na haki. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi viko chini yake. Uaoma kwa undani kwa nini na imekuwaje sasa pamoja na kumiliki vyombo vyote vinavyosimamia uchaguzi, vyombo vya usalama, mahakama...
  20. M

    GE2020 VIDEO: Wananchi walivyojitokeza kwa wingi Korogwe kumlaki Lissu wakiimba mkombozi amerudi

    Inakuwaje wanaJF! RAIS anayesubiri kuapishwa kalakiwa kiaina yake Korogwe huku umati wa watu wakirukaruka na kuimba mkombozi amerudi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…