lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. matunduizi

    GE2020 Namkubali Dkt. Magufuli, siikubali CCM lakini ni propaganda potoshi kumuita Lissu kibaraka wa Wazungu

    Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa. Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni kukidhalilisha chama cha Mapinduzi kwa kutumia mbinu za kizamani. Zamani za CUF tulitishiwa udini...
  2. U

    GE2020 Nimeamua kura yangu asubuhi na mapema Lissu atapata

    Mwanzo Mimi nilikuwa namkubali Magufuli lakini hizi hapa ni sababu ambazo zinanifanya nimpe Rais wangu Lissu kura 1: Mpaka sasa hivi hamna aliyejibu hoja za Lissu kwa ufasaha! 2: Magufuli anachuki ya waziwazi tena inaonekana ni Mtu katili kwa vitisho anavyovitoa kwamba tusipochagua CCM na watu...
  3. Q

    GE2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

    NEC: TIMU ZA KAMPENI Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3). Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda...
  4. Sky Eclat

    Tundu Lissu alianza kupigania haki siku nyingi, aliwahi kumtetea mzee Nyaswi wa Nyamongo

    Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi hukumu ikafutwa, mzee akarejea uraiani. Leo wamekutana tena Nyamongo.
  5. M

    GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ina upendeleo wa wazi kwa CCM na mgombea wake dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu

    Kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, Tume ya Taifa ya uchaguzi ndiyo yenye mamlaka na dhamana ya kuendesha na kusimamia chaguzi za wabunge na rais nchini. Katika kutekeleza majukumu hayo kuna sheria kanuni na miongozo ya kufuata ikiwemo kuwa fair kwa vyama na...
  6. T

    Namtabiria Mtanzania huyu na mgombea urais ipo siku atakuja kupewa nishani ya Nobel

    Apate urais asipate urais naamini ipo siku atapewa nishani ya Nobel. Kupenda kwake na wazungu ni kwa sababu za msingi kuu 3 wala siyo kwa ahadi ya kuwauzia mali asili zetu kama tunavyoaminishwa. 1. Wazungu hawasali makanisani kama sisi lakini wanautu kuliko sisi walala makanisani. Wamejaa...
  7. Erythrocyte

    GE2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

    Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA Mhe. Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa CHADEMA kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?
  8. M

    GE2020 Lissu atolea ufafanuzi kuitwa kwenye tume ya Maadili

    Akiwa huko Serengeti, Mheshimiwa Lissu ametolea ufafanuzi mzuri, wa kitaalamu na kisheria juu ya utaratibu wa kuitwa kwake kwenye tume kwa ajili ya maadili ya uchaguzi Lissu anasema kuwa kwa mujibu wa kanuni za maadili zilizotungwa na tume yenyewe, utaratibu wa shauri la maadili uko hivi 1...
  9. The Dictator

    GE2020 Tundu Lissu ni masiha wetu tuliepewa na Mungu, tumpokee

    FACTORY RESET ya maana itaenda kufanyika katika historia ya nchi hii tangu kuumbwa kwake. Yale mashimo watu fulani walizoea kujifichia na kuila nchi hii taratibu kama bandubandu yatafukiwa sasa 'Malaika wataishi kama mashetani'. Matumaini yatarudi ya kuishi kwa usawa kati ya raia wote bila...
  10. K

    GE2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

    Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo. Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama...
  11. D

    GE2020 Tundu Lissu kutikisa Hai kesho (Sept 29). Atarajiwa kufanya mikutano mitatu ndani ya jimbo hilo kama walivyofanya Slaa na Lowassa

    Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe. Huyu atakuwa mtu wa tatu kulirarua vilivyo jimbo la Hai baada ya Slaa (2010) na Lowassa (2015) kufanya...
  12. D

    GE2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

    Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti. Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
  13. Mbepo yamba

    GE2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

    Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
  14. General Mangi

    GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  15. Erythrocyte

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
  16. Joyce joyce

    GE2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

    Wakuu, Tundu Lissu Siku ya Kuamkia leo alilala nyumbani kwa baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuombwa na watoto wa Baba wa Taifa. Watoto hao walijisikia furaha kubwa mno kupata ugeni mzito huo ambao wamesema hawajawahi kupata mgeni wa kulala kwao mkubwa kama Lissu na walijisikia kama wako...
  17. The Humble Dreamer

    GE2020 Ni maelekezo gani mgombea Urais kapokea kutoka nchi za nje?

    Wakuu Salaam; Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani? Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi kuwa kuna kibaraka anapokea maelekezo toka nje. Jana pia Polepole kalilia hicho. Mgombea Urais...
  18. Jaji Mfawidhi

    GE2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

    MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani...
  19. Z

    GE2020 Tundu Lissu baada ya Uchaguzi

    Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unazidi kukaribia. Wapinzani wanaoonekana maeneo mengi ya kampeni ni Tundu Lissu na Prof. Ibrahim Lipumba. Kumekuwa na mijadala katika maeneo mbalimbali nchini juu ya hatma ya wagombea hawa baada ya uchaguzi kuisha. Kwa upande wa Lipumba, kwa vile amekuwa...
  20. Erythrocyte

    GE2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi . Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya...
Back
Top Bottom