limbwata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Myebusi Mweusi

    Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

    Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas. Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...
  2. Smart Contract

    Somo kwa wanawake: Usimuwekee limbwata mwanaume asiye kupenda

    Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini. Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote. Kama ni...
  3. The Burning Spear

    CCM ni Sawa na Mwanamke Aliyewalisha Limbwata Watanzania

    Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM. Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa kuvumilia......... Imagime hadi wanavunja sheria za nchi lakini wapi... tupo tumetoa macho tunalumbana...
  4. Justine Marack

    True story; Madem wa UDSM ndani ya Malawi kusaka limbwata

    Ni mwaka 2019 mjuba narejea toka bondeni. Kuna dili imefeli kiajabuajabu. Kwa hali ya kawaida Mtoto wa kiswahili formula imegoma na Imani imehama. Fikra na hisia nimeshaona Kuna nguvu za giza zimehusika. Sasa nikaanza kurecall majeshi yangu ya tangu enzi za kale katika vita Zangu ngum zaidi...
  5. Wadiz

    Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  6. BLACK MOVEMENT

    Kwa haya ni kweli kabisa Watanzania walilishwa Limbwata

    Naweza amini kabisa pasipo shaka kwamba Watanzania tulilishwa limbwata na hilo limbwata huenda lilichukuliwa sayari tofauti na hii make nimejaribu kufukunyua nchi zenye tabia kama zetu nimekosa kabisa Dunia nzima. Na hivi ni viashiria kwba tulilishwa limbwata: 1. Pesa za umma zinapigwa na sisi...
  7. NetMaster

    Tunavyotoa msisitizo kwamba mbaki njia kuu ama kuchepuka kiakili muwe mnalewa, Huyu mwanamke karekodiwa akifanya limbwata

    Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua unamwekea mazingira ya kumlazimisha akutulize. Kama ni michepuko usiparamie ovyo ovyo, piga research...
  8. bahati93

    Msaada: Nahitaji tiba la limbwata

    Wanaumee kamanda hapa nahitaji msaada wa haraka sana. Nahisi manzi yangu kanitengeneza kwa watalamu, hivyo nataka nitegue ambaye anajua tiba anieleze hapa. Nimeanza kuhisi kutengenezwa kwa sababu nikianza kugombana naye tuu na Mashine inaamka! Kadiri navyojaa nyembe na kuzitema kwa kufoka foka...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Ushuhuda: Limbwata la mapenzi lipo au halipo?

    Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata. Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke...
  10. M

    Limbwata lipo na limeharibu maisha ya wanaume wengi. Wanawake wanaharibu akili za wanaume

    Mtu anawekewa limbwata na mwanamke mpaka anasahau familia yake. Anashindwa kufanya kazi. Anawaza kuhusu mwanamke na wivu usiofaa. Anahonga mwanamke mpaka anaharibu maisha yake. Wengine wanakunywa sumu.
  11. Equation x

    Huyu dada, hawezi kunipa limbwata kweli?

    Wakuu habari? Mnavyojua tena, wanaume tumeumbwa kutamani na kupenda; hivi karibuni niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja anafanya biashara ya kununua madini mkoa mmojawapo huko kanda ya ziwa. Huyo dada nilimpenda kutokana na uchangamfu wake, na uhusiano wetu ulianzia club moja, nilipoenda...
  12. Superman

    Ogende ogaruke na Shuntama

    Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana. Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi...
  13. Mzungu wa Meli

    Kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata?

    Heshima kwenu wapendwa.... naomba kuuliza... kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata na mwanamke?
  14. M

    Kwanini wanawake wanaamini sana Limbwata kumtuliza mpenzi?

    Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake. Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni nini hasa mpaka wanatumia mizizi? Kwa nini hawajiamini kabisa?
  15. Carlos The Jackal

    Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

    Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!. Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA MWANAMKE ASITAMAN KUACHANA NAWEWE. Hii mbinu ni mbinu ambayo kama ni Mpenzi au mke ATAENDELEA KUKUONA...
  16. gstar

    Fahamu kuhusu Limbwata

    Limbwata ni dawa ya kumpumbaza mwanamke au mwanaume. Hufanywa na mwanamke kwenda kwa mwanaume au mwanaume kwenda kwa mwanamke. Wazigua wanayo dawa ya limbwata ambayo ni mzizi mdogo sana hupatikana huko milima ya Usambara. Matumizi Chukua ule mzizi wa limbwata weka kwenye sehemu za siri kwa...
Back
Top Bottom