Fahamu kuhusu Limbwata

gstar

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
759
1,250
Limbwata ni dawa ya kumpumbaza mwanamke au mwanaume.

Hufanywa na mwanamke kwenda kwa mwanaume au mwanaume kwenda kwa mwanamke.

Wazigua wanayo dawa ya limbwata ambayo ni mzizi mdogo sana hupatikana huko milima ya Usambara.

Matumizi
Chukua ule mzizi wa limbwata weka kwenye sehemu za siri kwa masaa 12 tu kama ni mwanamke weka kwenye uke wako ukibana na Ch**pi kwa mwanaume weka katikati ya bilinganya zako, ukienda chooni waweza toa na kuendelea kuweka.

Kutega limbwata
Saga ule mzizi kidogo changanya kwenye chai ama chakula chochote anachotumia mpenzi wako.
Mwanaume unaweza kumpelekea mpenzi wako zawadi yoyote ya kula mfano sukari uchanganye kidogo na unga wa ule mzizi.

Faida za limbwata
Mwanamke hato kuacha au kama alikuacha basi atakutafuta mrudiane.

Mwanaume atakuwa anakubaliana na chochote utakacho muambia, pamoja na kukutimizia mahitaji yako yote ya kifedha.
 
Hakuna limbwata Wala nini, hiyo ni issue ya Saikolojia tu. Kitu chochote kikiwa excessive unakuwa Teja .. Huo ni uteja wa mapenzi Kama ilivyo uteja wa pombe au madawa ya kulevya.
 
Suriya

Hasara ni pamoja na kudaiwa kuongeza nguvu hiyo dawa kila mara na pindi ikiisha nguvu ugomvi mkubwa huweza kutokea.
 
Hakuna limbwata Wala nini, hiyo ni issue ya Saikolojia tu. Kitu chochote kikiwa excessive unakuwa Teja .. Huo ni uteja wa mapenzi Kama ilivyo uteja wa pombe au madawa ya kulevya.
Kama hii field huijui ni vema ukapita tu usidhani usomi una nafasi hapa, haya mambo yanasumbua sana jamii halafu unakuja na lugha nyepesi ati Psychological issue kisha unaunganisha na ugunduzi wa akina Skinner na Ivan Pavlov kwamba ya behavioral issue, mya friend you are lost in the wilderness.

Hapo hajagusia kitu kinaitwa Ndele na hakuvuka hadi kanda ya ziwa kule Kagera kuna kitu inaitwa SHUNTAMA au Unyantuzuni kuna kitu kinaitwa LIKONDALIGOSHA ukibamizwa hiyo Theory zako zoote za kuhusu saikoloji na utopolo mwingine hutafahamu kwamba vina kazi gani duniani.
 
Umeongea vizuri na kumwelewesha vyema shukrani mkuu
 
Sawa tumekusikia. Mimi naomba anayejua namna ya kuzuia CHUMA ULETE anisaidie kuna mwanamke kaisha niangaisha mpaka nimechoka, pesa inapotea kimiujiza kila mara.
 
Kama hii field huijui ni vema ukapita tu usidhani usomi una nafasi hapa, haya mambo yanasumbua sana jamii halafu unakuja na lugha nyepesi ati Psychological issue kisha unaunganisha na ugunduzi wa akina Skinner na Ivan Pavlov kwamba ya behavioral issue, mya friend you are lost in the wilderness.
Hapo hajagusia kitu kinaitwa Ndele na hakuvuka hadi kanda ya ziwa kule Kagera kuna kitu inaitwa SHUNTAMA au Unyantuzuni kuna kitu kinaitwa LIKONDALIGOSHA ukibamizwa hiyo Theory zako zoote za kuhusu saikoloji na utopolo mwingine hutafahamu kwamba vina kazi gani duniani.
Acha ujinga wewe Mimi Ni mzaliwa wa huko mnapopaona Kuna uchawi wa kukata na shoka ... Huo upuuzi ni issue ya Saikolojia tu ninaongea kwa kujiamin.

Sio unaleta hadithi zako hapa za uongo na dhana potofu. Kama limbwata lipo mbona tunaona mnafanyiana wenyewe vijijin si muwafanyie na mawaziri tuona class mixing sio mnafanyiana Nyie kwa Nyie vijijin unaleta story zako.
 
Kuna bingwa hapa nahisi kafanyiwa huu mchezo maana yupo Kama zuzu hata ile hadhi ya uanaume hana tena.

Yani ukitaka kitu we ongea na mke wake. Juzi app kamfumania hakufnya kitu anaona Ni sawa tu.

Naweza msaidia je maana pesa yote anakaa nayo mwanake Ni shida mazee
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu uko upande wao au upande wetu? Haitakusaidia wakuone we mwema
 
Back
Top Bottom