lengo

The ancient rock art site of Lengo is located in the Bakouma region of the Central African Republic.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

    Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi; Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand, Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Paulo Chacha: Lengo la Kwanza la CCM ni kushika Dola

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanakawaida ya kumsema Marehemu, Lengo letu kuu ni Katiba

    Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
  4. JamiiForums Tanzania Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

    Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama. Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari. Okay sawa, uhenda nia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Vita uchaguzi wa Lissu na Mbowe ulitengenezwa lengo CHADEMA ipasuke

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo. Amesema hayo katika mahojiano...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa kama hizi potofu lengo lake linakua nini? Tuwe na imani na jeshi

    MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama ni wamasaia bado inakataa kabisa kuingia akilini. Ipo hivi Jeshi la Polisi ambalo, Kwa miaka zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop kwa lengo la kujipatia mtaji

    Habari zenu Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾 Asanteni sana
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

    mwingine amewasha data, mwingine ame connect Wi-Fi na wengine wakawasha na vpn juu kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Je, lengo hasa la kuingia online lilikua ni lipi au ulikua unakuja kugungua nini ?
  9. JamiiForums Tanzania CCM yaunga mkono pendekezo la kujitathmini zaidi kwa lengo la kukiimarisha zaidi

    Tuwaambie tu CCM mitaa imewakataa sanaa! Mmeifanya nchi kuwa ngumu sana mambo ya hovyo yamekuwa mengi sana, maisha yamepanda yani yamezidi kuwa magumu Ila wenzetu nyie mnakula raha tu ============= Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Mei 7,2026 imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??

    Maana ilikuwa ni tufurahie TU ya duniani ila ndo hivo CCM haipendi kabisa tuwe na raha
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je Lengo la Humu Jukwaani kuruhusiwa kutumia emoji 14 pekee ni lipi

    Member humu jukwaani wana hisia mseto hivyo kuruhusu emoji 14 tu, kwenye member wenye hisia na mtazamo mseto ni ku minya uwezo wa ufikiri na reaction za baadae. baada ya kuwa na emoji 14 tu mtu analazimika kutumia emoji moja wapo kati ya hizo itakayo fanania na wazo lake ili iwe m-badala je...
  12. JamiiForums Tanzania Mashindano ya Muungano lengo lake nini?

    Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu? Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi? Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  14. JamiiForums Tanzania Vita ya IRAN basically lengo kumuumiza CHINA

    Katika vita zote marekani hua anaingia na lengo tafauti na jinsi anavotaka ulimwengu waamini, kwa mfano MADURO alitolewa madarakanikwa sababu anauza mafuta kwa china, IRAN ndo muuzaji mkubwa wa mafuta kwa CHINA Ukiangalia vita zingine kwa mfano IRAQ kisingizio ni "WEAPONS OF MASS DESTRUCTION"...
  15. JamiiForums Tanzania Je, nianzie wapi kufikia lengo langu?

    Wakuu habari, natumai mko poa kabisa. Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana. Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni functional drink. Kwakuwa ndio niko kwenye starting point, vipi nianzie wapi? Maana kuna hizi mamlka TMDA...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

    Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts. Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Lengo la Agustino Polepole kujitokeza ni lipo haswa?

    Hamjambo! Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza. Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza vioja kwa lengo la kulichafua Kanisa Katoliki kunadhihirisha uwezo mdogo wa akili wa wapanga huo uovu

    Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

    Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani. Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi lengo kuu la kusoma (elimu) ni kupata kuajiriwa?

    Nielewesheni nielewe wakuu wangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…