Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu?
Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi?
Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading".
Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
Katika vita zote marekani hua anaingia na lengo tafauti na jinsi anavotaka ulimwengu waamini, kwa mfano MADURO alitolewa madarakanikwa sababu anauza mafuta kwa china, IRAN ndo muuzaji mkubwa wa mafuta kwa CHINA
Ukiangalia vita zingine kwa mfano IRAQ kisingizio ni "WEAPONS OF MASS DESTRUCTION"...
Wakuu habari, natumai mko poa kabisa.
Ninaomba ushauri kwakuwa kidogo kwa sheria zetu za Tz zinachanganya sana.
Kuna bidhaa fulani ni kinywaji nataka ni ki introduce ila sio luxury ni functional drink.
Kwakuwa ndio niko kwenye starting point, vipi nianzie wapi? Maana kuna hizi mamlka
TMDA...
Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.
Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
Hamjambo!
Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza.
Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote...
Wadhulumu haki na wauaji wanaumia sana na kufadhaika wakisikia yeyote ama akiongelea au kulaani udhulumati na ushetani wao walioufanya ile Oktoba 29. Kila anayechukizwa na dhuluma zao, huwa ni adui yao mkubwa. Na hasa kama wanaamini kuwa huyo anayechukizwa na uovu wao ana influence. Na kwenye...
Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani.
Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA...
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .
Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini
Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo aridhike
Lengo la kuundwa kwa bunduki halikua kuonea watu bali lilikuwa kujilinda na maadui lakini...
Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili.
Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio.
Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo.
Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka.
Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo.
Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa.
Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa...
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)
Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
Hakuna kificho wa pingamizi kuwa uchaguzi haukufanyika.
Samia alipachikwa na maafisa wa juu wa Jeshi, kwa maana nyingine Jeshi lilifanya Coup D'etat na kumuweka Samia, sasa watakuwa na ushawishi mkubwa kuliko wakati wowote.
Jambo la pili waandamanaji wamefanikiwa kuivunja CCM Na kujenga chuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.