Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu
Wakuu
Bado maumivu ya hawa G55 ni makali na yanawachoma sana, baada ya kuambiwa CHADEMA sio sehemu ya kutimiza ndoto za ubunge kwa watu binafsi bali ndoto za wananchi.
Hawa majamaa wanajali matumbo yao wanasahau chama kama CHADEMA kinatakiwa kupambania maslahi ya wananchi.
Watu wa aina hii ni...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga...
Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi...
Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame).
Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo;
1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please
Erythrocyte
Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..
Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja
Wajaribu kuchukua kiongozi wa...
Wakuu, hebu tufikirie, ukamatwaji wa Tundu Lissu, na ukamatwaji wa Alli Kamwe kule Tabora.
Kamwe, ilishaamuliwa akamatwe kabla hata ya ule mchezo wao na Tabora. Alikuwa anazunguka mjini akiendesha baiskeli, huku amezungukwa na Mashabiki wa Yanga.
Ma- Polisi walimuona, lakini hawakuthubutu hata...
Nimesikia kauli Moja ya Lema anasema kuhusu sadaka kwenye nyumba za ibada na michango ya CHADEMA.
Huyu jamaa hachuji mambo ya kuongea na hajui madhara yanayoweza kukifika chama chake kwa kauli zake.
Sijui ana tatizo Gani kichwani mwake. Aliwahi kusema ugali ni chakula Cha masikini akasahau...
Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo...
Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate.
Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa...
Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu .
Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema katika majukwaa,"No reform,no election."
Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
Kuna kila dalili kuwa wanachama wengi waandamizi wa Chadema wapo nyuma ya G55 ni suala la muda tu,. Chadema ipo kwenye mchakato wa kuzaa Chadema Asili. Punde Lisu ataachiwa Chadema yake anayo itaka yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.