Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.
Miaka hiyo nikiwa nimepigika vibaya mno kiuchumi nilibahatika kukutana uso kwa uso na takrima toka kwa Lema wa CHADEMA. Enzi hizo ilikuwa kawaida sana kutembea kwa mguu toka Mianzini hadi Kerai kutokana na hali ya kiuchumi kutokuwa rafiki. Ilikuwa nikikata kona pale round about ya Florida...
Rais wetu mpendwa!
Salaam!
1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi;
2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema...
Humphrey Polepole kaamua kujitoa mhanga na kuungana na wadau kuipigania Tanzania.
Ajabu na kweli jana akatokea Lema katikati ya show ati kutaka kumshauri ya kufanya Polepole?
Kwani ni siri? Polepole? kwa bongo ile ni Rostam au Lema wenye capacity ya kumshauri huyu?
Tuache husuda, nchi hii...
Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali...
Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole
Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija kwa taifa letu wal Kwa sias za upinzani kwa sababu:
1. Tunahitaji Kusonga Mbele, Siyo Kurudi Nyuma...
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?
Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus...
Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe.
Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa.
Ndio maana tuliona vita kule Angola...
Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti.
Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde.
Nadhani utakua umeiona
Wafungulie...
Raisi wa Pili wa Gabon raisi Bongo aliwahi zuia Mwanamziki wa Rumba Oliver Ngoma asiende kutibiwa Ufaransa kwa sababu za kisiasa make wakati huo Oliver Ngoma alikuwa maarufu sana kuliko Raisi Bongo na hivyo Raisi kuona kitendo cha Oliver Ngoma kwenda Ufaransa ni kwenda kujiandaa kuja kumuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.