lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika kwamba Polisi Ruvuma haikuwapeleka mahabusu Heche na Lema

    Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu . Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema katika majukwaa,"No reform,no election."
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

    Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao. Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Sugu na Lema nao kujiunga G55?

    Kuna kila dalili kuwa wanachama wengi waandamizi wa Chadema wapo nyuma ya G55 ni suala la muda tu,. Chadema ipo kwenye mchakato wa kuzaa Chadema Asili. Punde Lisu ataachiwa Chadema yake anayo itaka yeye.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Tamko lililo tolewa na G55 ni dalili tosha kuwa Lissu na wenzake hawata weza tena kuiongoza CHADEMA

    Tamko lililo tolewa na G55 Chini ya Mwamba John Mrema ni dalili tosha kuwa Lisu na genge lake hawata weza tena kuiongoza Chadema, dhambi ya njama za kumpidua Mhe. Mbowe wakati akiwa gerezani itawateteza na kusambaratika. Kilicho baki sasa ni kugawana mbao, maana walio kijenga Chadema...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrema: Kauli za Lissu na Lema zinaleta hofu ya kujieleza CHADEMA

    “Pamoja na kupokea wito wa kushiriki mkutano huo maalum, sisi -wagombea ubunge wa 2020 na watiania wa ubunge wa 2025 – tumeona kuna viashiria vya kutopewa au kutopata nafasi ya kutosha kusikilizwa katika mkutano huo maalum, na kwa hiyo, tumeamua kukuandikia Waraka huu, kwasababu zifuatazo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Uongozi wa lissu anahujumiwa ndani ya CHADEMA

    Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema amechapisha picha inayoonesha wananchi waliojitokeza mkutano wa Lissu, Machi 27, 2025 Tunduma

    Wakuu salama? Nmekutana nahii picha na nmeona watu wanasema kuwa si ya mwaka huu 2025. Uhalisia ukoje JamiiCheck?
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo

    Ukisikiliza hii video ya Lema akimchana RC wa Chuga utacheka Hadi upasuke lakini ndio ukweli wenyewe. Maana Jamaa Yuko busy na makongamano kuliko kushughulikia Maendeleo. On top of that mda wote anagombana na Mbunge Kwa kugombania nafasi za Ubunge huku akiwaacha watu wa Arusha Wakiwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Kuchagua mama bora kwa ajili ya wanao ni muhimu zaidi kuliko kuchagua mke mrembo kwa ajili yako

    "Choosing a good mother for your kids is more important than choosing a beautiful wife for yourself... Please say it again !!!" Godbless Lema
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema awataka watu kuendelea kuchangia tone tone hata kama wanakutana na changamoto, asema mwisho wa uhuni umekaribia

    "Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  11. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha. Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni. Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mchome ahofia nia ovu Chadema

    Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika Ameandika ktk X yake
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

    Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua. Chanzo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Katika hawa wajumbe wa Kamati Kuu aliowateua Lissu, Lema pekee ndiye alistahili

    NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama alivyofanya Lissu. Nimepitia Majina ya hao watu Lissu aliowateua zaidi ya Lema wengine naona uwezo wao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lema kamkimbia Makonda Arusha?

    Siku hizi analala anaamkia Dar. Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda. Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Inasemekana ndio mshauri mkuu wa Lissu ndani ya chama. Swali langu. Jee...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lema, kila siku unasema Land Cruiser V8 unaweza kujenga madarasa mengi leo unataka raia wachange wamnunulie Mbowe Gari Toyota Land Cruiser V8

    Wanaukumbi. Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi? Watanzania...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Msigwa anasema Mbowe alilamba asali kutoka CCM, sasa yeye anafanya nini CCM?

    Hili ni swali la muhimu.
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema live Power Breakfast tarehe 23/01/2025

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast. Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana kufanyika. https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-kutikisa-power-breakfast.2192804/
  20. M

    JamiiForums Tanzania Lyenda, Lema, na Diaspora mmetisha sana kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa CHADEMA

    Huu uchaguzi ndani ya CHADEMA umetuonyesha sura nyingi sana chanya na ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA. Huwezi kuzungumzia ushindi wa Lissu bila kutaja timu ya kampeni ya Lissu iliyopiga kazi ground kimyakimya na kwa dhahiri kuwezesha Ushindi wa Lissu. Katika wengi waliowezesha ushindi kuna...
Back
Top Bottom