kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kwenda kwa nabii Flora tujuane

    Wajuba tuliowahi kwenda kwa nabii flora Sala Sala tujuane. Kuna wakati katika harakati za kiimani nikajikuta kwa huyu dada pale Sala sale Mbezi, wakati huo watu kumwona unapanga foleni kubwa!
  2. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote

    This picture speaks thousands words!. Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti. Wenyeviti...
  4. JamiiForums Tanzania Neville na Carragher wasema Ronaldo amejimaliza Kisoka kwenda Saudi Arabia

    Kauli za Wakongwe hao wa Soka zinakuja muda mfupi baada ya #CristianoRonaldo kujiunga na Klabu ya #AlNassr kwa mkataba wa miaka miwili na nusu wenye thamani ya Tsh. Bilioni 493.7 kwa mwaka, sawa na Tsh. Bilioni 41.1 kwa mwezi. #GaryNeville ambaye amewahi kuchezea #ManUnited amesema "Nilihisi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada usafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama

    Wakuu kama title inavyosema, nahitaji kusafiri kutoka Morogoro kwenda Butiama karibu na chuo cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology, kwa anayefahamu bus ninalotakiwa kupanda, pamoja na routes za kupitia kufika hapo naomba anisaidie please🙏.
  6. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yapiga 'stop' wanafunzi wa Shule za kutwa kuhamishiwa Bweni

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amesema hakutakua na uhamisho wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za kutwa kuhamia bweni. Taarifa iliyotolewa na Tamisemi imesema, Profesa Shemdoe ametoa agizo hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kwenda Nairobi

    Hamjambo wakuu? Nataka kuenda Nairobi Kwa siku mbili, nahitaji kujua usafiri mzuri kutoka Dar, nauli na pale mpakani kinahitajika kitu Gani? Passport ninayo je, kuna kingine kinahitajika ili kuingia Kenya? Je, maeneo Gani mazuri Nairobi ya kukaa Kwa budget ndogo, msaada?
  8. JamiiForums Tanzania Wachaga kwenda Moshi December ni ishara ya upendo na mshikamano

    Ukitaka kujua Moshi kuna watu njoo mwezi huu, mitaa inameremeta kama maua. Huu utamaduni unaashiria wachaga ni kabila lenye upendo na mshikamano, na pesa ipo pia. Kipindi nasoma same boys watu wa kanda ya ziwa walikuwa hawaendi makwao likizo wanajibana kwa watu, kuja kuchunguza ndo nikaambiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  10. JamiiForums Tanzania BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani. Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
  11. JamiiForums Tanzania Wataaalam wa siasa mnielimishe: Pamoja na wapinzani kufanyiwa maovu kwanini bado wanaendelea?

    Hizi siasa huenda hata bado sijazijua vizuri. Hawa wapinzani wanapigwa sana, wengine vilema, wengine wameponea kifo chupu chupu, wengine washauwawa, wengine wapo magerezani, wengine washateswa sana, hivi huwa hawaogopi wanapoona wenzao wanapitia hayo?
  12. JamiiForums Tanzania Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  13. JamiiForums Tanzania Wazee wanaooa mabinti wadogo wanaweza kwenda na kasi ya mabinti?

    Habari zenu wakuu, Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23. Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama mjini tumeshazoea kuchapiana, yani huku watu waliooa hasa wazee wamejidhatiti na hii imesaidia hata...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

    Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya! Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja! Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuhama kutokea Taasisi A kwenda Taasisi B za Serikali, Nifanyeje?

    Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu. Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa cheki namba wala huduma za lawson. Nina miezi minne kazini! Kabla sijasaini offer nilikuwa na pending...
  18. JamiiForums Tanzania 2025 nimekataza mtu yeyote nyumbani kwangu kwenda kupiga kura, Ni kupoteza muda tu, Pongezi kwenu CCM mmejua kutukatisha matumaini ya kupiga kura.

    Yes, 2025 mimi mkuu wa kaya, mke wangu na house girl ambao ndio watu wazima kwenye nyumba hii nimepiga marufuku kwenda kupiga kura, kama ataongezeka mwengine awe tayari kuyakubali haya masharti. Kipindi pekee ambacho nilipiga kura walau kwa matumaini hasa katika nafasi za wabunge na madiwani ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Mambo vipi wakuu, Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani. Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani. Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kusafirisha Dizeli kwa bomba kwenda Zambia

    Mawaziri wa nishati wa Tanzania na Zambia, wamekubaliana taratibu za namna ya kuimarisha ulinzi katika bomba la TAZAMA litakalosafirisha mafuta ya dizeli kutoka nchini kwenda katika Taifa hilo jirani. Miongoni mwa masuala hayo ni kuongeza askari katika njia ambazo bomba hilo linapita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…