zink
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 924
- 1,477
Natumai muwazima wa afya wana JF.
Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii ulipatia wapi hiyo GPA yako cha Muhimu iwe kubwa tu.
Pili Tupeane pole wale tunaosoma au waliosoma diploma katika vyuo vya serikali kwani wengi wetu uishia kupata GPA za ajabu ajabu mwisho wa siku kwenda kusoma degree inakua ngumu, hivyo inabidi kusoma sana ilikutoboa kwenda bachelor bila hivyo utaenda kusoma degree kozi usizozitegemea na kutarajia.
Tatu, Niwapongeze wanaosoma diploma za afya katika vyuo vya Private kwani wengi upata GPA kubwa na hivyo uapata nafasi kusoma katika vyuo vikuu vya serikali kama MUHAS, UDOM na UDSM (mbeya campus).
Nne, Nawasii wazazi kama uwezo upo ni kheri ukampeleka mwanao vyuo vya private akasome na afaulu vizuri ili apate degree yake kiulaini.
Tano Nampongeza jamaa yangu mmoja amepata admission MUHAS kwa GPA yake nzuri lakini alikua na ufaulu wa kawaida tu Olevel, hongera sana mkuu.