kwasababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

    Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea. Kwanini wanaharibu miundombinu. Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke. Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana. Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  3. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Nilikubali kuolewa kwasababu ya umaskini na sio upendo

    Mwanaharakati wa haki za wanawake na mjasiriamali Joyce Kiria, amesema sababu ya Ndoa yake ya kwanza kuvunjika ni kwakuwa hakuingia kwenye Ndoa hiyo kwa Upendo bali ni kwakuwa hakua sawa kiuchumi. Kwa upande mwengine Kiria amewashauri wanawake wasiingie kwenye Ndoa kwaajili ya kupunguza ugumu...
  4. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi hayafiki mbali kwa sababu watu wana haraka ya kubadilishana tabia

    Sababu kubwa ya mahusiano mengi kutokufika mbali watu Wana force kubadilishana tabia kwa haraka Jambo kubwa na la muhimu watu wanalopaswa walitambue . Katika mahusiano unakutana na mtu ukubwani haujui Maisha aliyopitia au matukio aliyokutananayo mpaka kufikia umri huo . Hauwezi kwa haraka...
  5. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kugombana na mwenza wako kwasababu ya hizi Dawa?

    Leo Mjanja M1 nimetafakari sana kuhusu mfanano wa hivi vipakiti vya dawa ya Mbu na Ndom. Je ushawahi kupata msala wowote kwasababu ya hivi vipaketi?
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi wale wote niliowakejeli kwasababu ya mapenzi

    Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa kontro na kupelekea kufanya mambo ya ajabu kisa mapenzi? Nilikua nasema sitoweza kuja kufanya huo...
  8. JamiiForums Tanzania Ili Rushwa kwa Askari wa Usalama Barabarani iweze kuisha, Waanze kuadhibiwa mbele ya Vyombo vya Habari

    Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani: 1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hujaoga wiki nzima kwasababu ya mgao wa maji unatoa wapi nguvu ya kusifia viongozi mtanzania mwenzangu ?

    Na hata nguo zenyewe umerudia bila kuifua basi ni tafrani tupu
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Mwana kawatelekeza wenzie kwasababu ya Namba

  13. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mechi ya Yanga na Simba ya tarehe 20/04/24 inaweza isifanyike kwasababu ambazo hazitaeleweka kwa mashabiki wa soka au mchezo kuvunjika

    Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

    Wanajamvi, Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi. Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Teuzi na tangua za Makonda ni wazi kuwa hafai ila kwasababu zisizoeleweka vizuri mamlaka zinajikuta zinamteua japo zinajua kuwa hafai

    Jambo la ajabu ni kuwa, japo Mama amemwona Makonda kuwa ni hatari kwa chama, lakini hajaweza kuachana naye kabisa. Afrika tuna safari ndefu kwa mambo haya ya teuzi zisizozingatia weledi na sifa stahiki. Paul Makonda ni wale watu Waingereza wanawaita controversial figures, watu wenye mtafaruku...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha chama kimerudi juu kwasababu ya Pacome

    Ni ukweli usiopingika kuwa kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika ligi yetu hapa Tz ukizungumzia kiungo bora na wa kiwango cha juu lazima umtaje chama, amekuwa kwenye ubora kwa muda mrefu japo kuna kipindi ameonekana kushuka viwango hasa baada ya kurejea Simba kwa mara ya pili, vilevile...
  17. JamiiForums Tanzania Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama. Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa. Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanashindwa kumiliki Magari mapya kwasababu ya Utitiri wa Kodi

    Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii. Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba! Unakubaliana kwa kiasi gani na kauli hii?
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kugharamia Matibabu ya Kisukari na Tezi Dume kwasababu huduma nyingine zitasimama

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…