kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

    Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwanga na hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho. Naomba Yanga SC ikirejea Dar es Salaam japo Mimi Mightier ni mwana Simba SC lia lia lakini Furaha yangu Kubwa ni kupiga tu...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

    Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya haya Kumekucha Wanaijeria wameshaanza tayari Umafia na Kulipiza Kisasi huko Kwao Port Harcourt

    Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi. Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia...
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania River united kuonesha wapo serious. Walivyorudi tu kwao wamecheza na enyimba mechi ya kirafiki. Yanga tumepumzika tu

    Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu. Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki. Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

    Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume. Pili...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC na wana Yanga Tanzania si mnajifanya mnajua Fujo na Ubabe, sasa Kisasi chawasubiri huko Kwao Rivers United FC Nigeria

    “Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

    Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha. Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika. Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje. Manara kwa kwelii...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  10. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Denmark kufunga balozi zisizokuwa na tija kwao, Tanzania ni mojawapo

    Kwa wataalam wa haya madude ina maana Tanzania kwenye mambo ya kidiplomasia imefika kiasi cha kutemwa na mataifa ya maana kama Denmark, hii ina maana Watz watakua wanakuja Nairobi au Kampala, Uganda kwa huduma zozote zinazohusu ubalozi wa Denmark. Mama Suluhu ana kazi kwa kweli, yaani mpaka...
  12. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri unavyozidi kwenda mapenzi yangu yanazidi kuwa makubwa kwao👨‍👩‍👧💑

    Ni wazazi💞💓 Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka supablaki anikimbie😃😃😃 Nimtegee bimkubwa asinzie nimpake wanja na lipstik nyekunduuuu, nimvishe wigi la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mmarekani wa Tandale akiwa kwao Marekani na wenzake

  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zabadilishana wafungwa, kila mtu akafungiwe kwao. Tunaendelea vizuri ila sijui kama Watanzania wanamsoma Rais Samia

    Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana asili ya Zanzibar, Wazenji na Wakenya hatujawahi kuzinguana, hutupokea vizuri kwenye visiwa vyao vile...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Saluti kwao: Hii ndio ripoti ya wasanii wa Tanzania waliotazamwa zaidi mwezi uliopita (Juni)

    Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani. Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu huogopa kurudi kwao wasipofanikiwa?

    Habari zanu wanaJf, Kufuatana na kichwa cha habari hapo juu, nimeona niombe ufafanuzi zaidi wa jambo hili. Nimeona watu wengi baada ya kutoka kwao na kuenda kutafuta maisha sehemu nyingine na kukosa kile walichokusudia, huamua kukaa huko bila kukumbuka hata kurudi kwa asili yao! Nawasilisha...
  19. Leak

    JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro kuna shida? Kila kiongozi kwao ni mbaya?

    Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana. Kila kiongozi anaye kuwa pale hasa kama hatokei kwenye milengo yao wanayoipenda au kuiamini basi huyo ni kiongozi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Harbinder Sigh Seth amewekeza nini Tanzania kinacholipa fedha alizoelekezwa? Akirudi kwao Kenya itakuwaje?

    Huyu Mzee ameiba matrilioni ya nchi yetu. Watoto hawana madawati Wala madarasa, hospitali hazina madawa, mishahara haipandi nk then anahukumiwa alipe bilion zaidi ya ishirini anatangulia milioni mia mbili. Are we serious? Hizo bilioni 26 zitalipwa au ametupiga? Ukiisoma taarifa za Kenya it's...
Back
Top Bottom