The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.
Wanafunzi 23 wamefanikiwa kurejeshwa #Namibia kutoka #Ukraine. Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi hao kujiunga na vyuo vya nchini kwao ili kuendelea na masomo.
CNN imeripoti wanafunzi takribani 13,000 wa Ghana, Somalia na Nigeria ambao wamekwama mjini Sumy na hawana chakula wala fedha kwa kuwa...
Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia?
Tena yeye na...
1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu.
2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa.
3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
Tanzania wafanyabiashara wakubwa wanaosifika wengi ni Wachaga, Wapemba na Wakinga lakini hawawekezi sana vitega uchumi na biashara kubwa kwao wanawekeza tu mikoa mingine sababu ni nini?
Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao.
Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi.
Chanzo: Habari Leo...
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara...
Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa likiunganishwa na awamu iliyopita pamoja na ukweli kwamba kituo chake pamoja na kuwa Arusha alipewa...
Kuna chembechembe ya damu
zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha waliyokuwa na wanaoishi nchini Ethiopia.
Inadaiwa kuwa, Wachaga hao walitokana na uzao kati ya...
Nimefanya uchunguzi sio rasmi kwa wamama wawili watu wazima Waliodumu Kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 20 Mmoja akiwa na watoto na Mwingine akiwa na watoto na wajukuu Kabisa, Wote story zao zilifanana, ingawa ni watu tofauti hawajuani, utaskia mama anasema huyu mwanaume alienioa, wala alikua...
Kwa Ufupi Kuhusu Muuaji na Tukio Hilo Kwa Ujumla
Huyo ni Mmareakani.
Alikuwa ni mfanyakazi wa Peace Corps.
Alitoka ulevini na kahaba huku akiwa amelewa.
Alisababisha ajali ambayo iliumiza wawili na kumuua mwanamke mmoja.
Baada ya Tukio alishikiliwa katika kituo ambacho hakijatajwa jina...
Wasanii wengi wametoka kwenye maisha magumu ya kuishi chumba kimoja familia nzima tena hapo wamepanga. Wengine wametoka mikoani wamekuja Dar hawana pa kulala wanalala stendi, mitaroni, Kariakoo shimoni au wakibahatika ndio ile wanaishi maisha ya ghetto chumba kimoja mtu sita, yaani kifupi...
Nipende kuchukua nafasi hii kuzisifu na kuzipongeza chanel hizi mbili za television AMC na HBO kwa kutuletea vitu vizuri wapenzi wa series. Ukitaka series kali basi fuatili hizi Chanel mbili.
Series namba moja duniani inatoka HBO ambayo ni Game of Thrones, series namba mbili duniani inatoka AMC...
Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine.
Karibuni
MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu. Wala sisemi haya Kwa maslahi yangu, au ya mtu yeyote Yule. Nazungumza mambo ambayo ni kweli kabisa.
Na...
Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007.
Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu.
Na alikuwa...
Siku zote nimekuwa nikisema.... UBAYA HAUNA KWAO. msije mkadhani Rais kwa kuwa ana Jina zuri la Kikristo au Kiislamu basi atakuwa mwema. Sababu linatoka kwenye Biblia au Quran.
Msije mkaangalia Rangi ya Rais mkamchagua kutokana na rangi yake mkiamini atakuwa mtu mwema sababu ni mweupe au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.