Haya haya Kumekucha Wanaijeria wameshaanza tayari Umafia na Kulipiza Kisasi huko Kwao Port Harcourt

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi.

Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia.

Nasikia sasa mkijiandaa kutoka hapo Uwanjani mnatakiwa kwenda eneo Maalum kupima Covid-19 na hapo ndipo mnapotegwa na Wanaijeria ambapo Wachezaji wenu Waandamizi watakutwa nao kisha mkihamaki na kupandwa na Hasira ndiyo mtachapika ile mbaya.

Nami Mightier nikiwa kama Mzalendo kabisa nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri Wawakilishi wa Wenye Nchi Simba SC Timu ya Rivers United FC Ushindi mwema hiyo Kesho na naamini hawatatuangusha.

Oya akina George, Said, Keto na Peter ( Watanzania mliopo hapo Port Harcourt Kimakazi ) tafadhali wekeni Ujangwani wenu pembeni na tutumieni hizo Picha za Umafia ambao tayari mmeshaanza Kufanyiwa wakati Klabu husika ikificha / ikiwaficha Mashabiki wake Oya Oya wengi walioko Dar es Salaam Tanzania.

Nimepenyezewa kuwa Kimeshanuka!!!!
 
Oya Wewe Jimmy Kindoki si utupie hiyo Picha ya Uso wako unavyoonekana sasa kwani ulioambata nao wanapenyeza kuwa umejipendekeza kwa Wapopo ( Wanaijeria ) hapo Uwanjani na wamekuonjesha kidogo na kuna kama Nundu hivi Usoni mwako.
Kwanini wewe usitupie picha?
 
Hiyo ni kazi ya msukule wenu wa timu
Yaani ufungue kesi ya madai halafu baada ya wewe mlalamikaji utoe vithihitisho vya madai yako, unataka mdaiwa alete vithihitisho. Basi kesi yako uliyofungua haina uhalisia. Kama mleta uzi hana picha juu ya kile anachokisema basi ni muongo
 
Kesi za mpira haziendi mahakamani
tumeelewana uto ?
 
Yaani ufungue kesi ya madai halafu baada ya wewe mlalamikaji utoe vithihitisho vya madai yako, unataka mdaiwa alete vithihitisho. Basi kesi yako uliyofungua haina uhalisia. Kama mleta uzi hana picha juu ya kile anachokisema basi ni muongo
Huwezi kuwa umesoma SAUT halafu ukawa na akiri. Tena ukiwa umesoma Ile tasnia ya takataka
 
Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi.

Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia.

Nasikia sasa mkijiandaa kutoka hapo Uwanjani mnatakiwa kwenda eneo Maalum kupima Covid-19 na hapo ndipo mnapotegwa na Wanaijeria ambapo Wachezaji wenu Waandamizi watakutwa nao kisha mkihamaki na kupandwa na Hasira ndiyo mtachapika ile mbaya.

Nami Mightier nikiwa kama Mzalendo kabisa nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri Wawakilishi wa Wenye Nchi Simba SC Timu ya Rivers United FC Ushindi mwema hiyo Kesho na naamini hawatatuangusha.

Oya akina George, Said, Keto na Peter ( Watanzania mliopo hapo Port Harcourt Kimakazi ) tafadhali wekeni Ujangwani wenu pembeni na tutumieni hizo Picha za Umafia ambao tayari mmeshaanza Kufanyiwa wakati Klabu husika ikificha / ikiwaficha Mashabiki wake Oya Oya wengi walioko Dar es Salaam Tanzania.

Nimepenyezewa kuwa Kimeshanuka!!!!
Bangi ni mbaya sana ukizivutia chooni
 
we hujielewi
 
Tuwekee wewe picha au
 
Back
Top Bottom