kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

    Wanabodi Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!. Mtu huwezi kukata tawi la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

    Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu. Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake. Nataka tu kujua jinsi nafsi...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?

    Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo? karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama unajenga gholofa. Unashauriwa umwage nguzo kwanza. kwanini sababu ni kwamba ili cement ifikie ubora wake...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mama Samia kaona apige chini kwanza SGR lot 5.

    Mama Samia ameona ni bora kuachana na kipande cha 5 cha SGR kutoka Mwanza kwenda Isaka Shinyanga. Itakumbukwa miaka miwili iliyopita tulileta uzi ukionyesha ujenzi wa daraja la juu mkuyuni, miaka miwili baadae daraja hilo bado kukamilika na ujenzi wake umesimama kabisa. Baada ya miaka 2000...
  6. kiss ov love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  7. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

    Habari zenu ndugu wanajamii forum. Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi. Nasikiliza mawazo yenu.
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Usajili wa kwanza msimu huu Simba

    Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mzaliwa wa kwanza afe, kwa ukombozi wa Israel

    Katika biblia, kuna habari ya wana Israel chini ya Musa waliokuwa wanaomba ruhusa kwa FARAO, ili waende nchi ya ahadi. FARAO alikataa pamoja na kupewa mapigo kadhaa lakini hakutoa ruhusa. ndipo pigo la mwisho likawa la kuua mzaliwa wa kwanza wa binadamu na mnyama wafe. Walipokufa, kesho yake...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wenye uwezo wa kifedha wasome Masters au PG Diploma darasani au Online lakini lazima wawe na Shahada yoyote ya kwanza

    Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma. Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Usije na kejeli bali hoja zenye ushahidi
  12. Black nyeti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  14. bro alex

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka 76 ajifungua Mtoto wa Kiume, Ethiopia

    Tukio la kushangaza limeripotiwa mjini Mekelle, makao makuu ya Jimbo la Tigray, Ethiopia, ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 76, Woizero Medhin, amejifungua mtoto wa kiume. Tukio hilo limetajwa na wengi kuwa la kimiujiza, likifananishwa na simulizi la kibiblia la Sara aliyejifungua akiwa na...
  15. kiibinda

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details. Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa. Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Msimamo ni huu: Hatutiki gizani Washeni taa Kwanza

    GT maCCM wasicheze na akili zetu kabisa wasituone maboya Kwa kweli kura hatupigi sijui nani atakayeenda kupiga kura gizani. Mama Kizimkazi apumzike.TAL awe huru NRNE.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
Back
Top Bottom