kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Tutazame goverment school za Kenya kwanza. Tulinganishe na zetu kabla hatujajadili ubora wa elimu yetu

    Habari wadau. Video ya wanafunzi wa shule ya serikali Kenya waki have fun kucheza wimbo wa jerusalem Binafsi nimeitizama sijavutiwa na style za kucheza. Bali mazingira ya shule yenyewe kuanzia madarasa, church la shule, viwanja vya michezo etc etc. Ni shule ya serikali kama ilivyo mzumbe...
  2. Tunaanza na Tume Huru Kwanza

    TUNAANZA NA TUME HURU YA UCHAGUZI Hoja ya ACT Wazalendo Juu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Utangulizi. Tangu kurejeshwa upya kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini, hoja ya kuanzishwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na kuandikwa kwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi...
  3. Kwa mara ya kwanza nimepanda daladala yenye AC Dar es Salaam

    Hello guys! Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta. Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC. Kweli nchi ngumu hii.
  4. B

    Waziri Nape umeanza vibaya kwanza Kwa msiba lakini pia kwa kauli isiyotekelezeka, Mkipewa nafasi Jikabidhini kwa MUNGU Kwanza awape hekima

    Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza. Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
  5. Kama Rais Samia ndiye mkuu wa dola la Tanzania kwanini Rais wa Zanzibar amekuwa wa kwanza kutoka uwanjani baada ya sherehe za Mapinduzi kuisha?

    Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni...
  6. T

    Suala la sare za wanafunzi: Kwanini Serikali isitoe sare elekezi kwa wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza na Serikali ishone kwa kuchangia gharama?

    Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi. Kiukweli nimeona mtazamo wa wengi juu ya suala ,kuna wengine wanasema kwamba sio mbaya waendelee nazo tu...
  7. N

    Mjadala Kuhusu Mtu wa Kwanza Alikuwa na Rangi Gani na Alitokea Sehemu Gani, Ni Ujinga na Upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  8. Rais Samia ni kiboko; Kwa mara ya kwanza Tanzania imeuza zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya

    Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya. Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
  9. Awamu ya kwanza ya bandari ya Lamu yakamilika, mpaka sasa meli tisa zimeitumia

    Mambo yanakwenda kimya kimya.... Construction of the $400 million first phase of Kenya’s second commercial port in Lamu has been completed. The second and third berths were completed in December, paving the way for the government to float a tender to private companies to construct 20 more...
  10. Waziri Ndalichako: Wanafunzi wote 907,802 waliofaulu, Watajiunga kidato cha kwanza

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Wanafunzi wote wa Darasa la Saba 907,802 waliofaulu Watafanikiwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2022 kutokana ongezeko la Madarasa. Amesema Serikali imewezesha ujenzi wa Madarasa mapya elfu 15 Nchi nzima kwa mkupuo huku...
  11. Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya. Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha. Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
  12. Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

    Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla. Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023.. Wale watoa...
  13. Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

    Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
  14. Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  15. Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo. kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
  16. Pia unaweza ukamkiss lakini mwenzako bado aliona ni mapema sana

    Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date) Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date. sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye mtoko wa kwanza kuna ishu ya ku kiss na mara nyingi inabidi mwanaume ndio umpige busu. unaweza kudhani...
  17. Uliwezaje kutongoza kwa mara ya kwanza?

    Habari za wakati huu Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza na wanaume wengi tunawachukulia wanawake wanaotutongoza kama ni wameshindikana ila ukweli hauko hivo kwani mapenzi...
  18. Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  19. B

    Ni kweli kuna uhaba wa mabomba ya kuchomea chanjo za kwanza za watoto wachanga mkoani Geita?

    Wadau, Tumeenda kituo cha afya Kanyala kilichopo halmashauri ya Geita Mji kwa nia ya kumpatia chanjo ya awali mtoto mchanga. Wahudumu wa afya wametuambia mtoto ataruhusiwa kupata matone tu ya kuzuia polio lakin chanjo nyingine hawezi kupata. Wahudumu hao ambao walinisubirisha kwa zaidi ya...
  20. Mbowe hatofungwa ila anampisha Rais ajenge uchumi kwanza

    Kwa jinsi kesi inavyoenda na hukumu ndogo ndogo zinavotupiliwa mbali ni wazi tayari kuna malekezo ya wapi kesi ifike na mpaka ifike huko basi muda utakuwa umsogea sana rais atakuwa ameisha onesha muelekeo wake anatupeleka wapi. Wakati SSH anaingia na wapinzani wakaanza makongamano ya katiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…