kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke watu waliotupokea na kutupa njia za kuishi hapa DSM

    Kwa Mara ya kwanza nilipofika hapa Dsm nilifikia kwa Uncle wangu ni Askari yeye na mke wake. Nakumbuka nilikaa pale wiki tatu tu lakini niliziona Kama Mwaka mzima . Asikuambie Mtu yule uncle wangu ndo alinifundisha kumjua Mungu na kunipeleka Shule Hadi kufika Chuo Mungu Ampe Maisha marefu...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa ya kwanza ya Mama yenye rangi ya manjano ni hatari kwa mtoto

    Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka yanapotoka maziwa ya rangi nyeupe.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

    Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa. Akili imenikaa sawa sawa, kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu. Nakubali huyu mwamba alikuwa na nia ya dhati ya kulipigania hili taifa. Nahisi labda njia tu ndo zilitukwaza baadhi yetu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kukumbatia lugha yako ni hatua ya kwanza ya kujiamini kitamaduni

    Hivi karibuni, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara ya ukaguzi katika magofu ya Yinxu mjini Anyang, katikati ya China na kusema “Maandishi ya lugha ya Kichina yameshangaza sana, na kufanya kazi kubwa katika kuunda na kuendeleza taifa la China." Yakiwa magofu ya kwanza ya mji mkuu katika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ndio kwanza nina miaka miwili, bado miaka yangu mitatu

    Ndio kwanza kumekucha kwenye miaka mitano ya kikatiba bado nina miaka yangu mitatu kamili. Mlilia nchi imefungwa mtangulizi wangu ameua utalii, mazao hayatoki ndani bei inawaumiza wakulima, sasa nimefungua kaeni kwa kutulia. Mkadai mtangulizi wangu hapendi kusafiri kwa sababu hajui kingereza...
  7. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka mara yako ya kwanza?

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke kimalkia pembeni twende mojakwamoja kwenye story Nakumbuka mpaka nilipofika form 2 nlkuwa bado...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

    .hgjk
  9. JamiiForums Tanzania Mzaliwa wa kwanza ndio wanafaa kuongoza nchi. Je, Tanzania tunazingatia hilo?

    Salama wandugu. Watanzania tufahamu kwamba mzaliwa wa kwanza imeandikwa kwenye Biblia, Na kutokana na hilo wenzetu walioendelea nchi za mabeberu wanalizingatia sana hilo ,ukiwa wewe sio mzaliwa wa kwanza hufai hata kuongoza kijiji mpaka Uraisi wa nchi. N:B Mzaliwa wa kwanza wa Kiume
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Gharama za Himars 'zapaa' na Taiwan kuongeza malipo ya dola milioni 400 ili kupata ingizo la kwanza la silaha hizo hatari

    Mifumo hiyo itaanza kuwasili mwaka 2024 kwa mujibu wa gazeti la Liberty Times la Taiwan. Taiwan inahitaji kuagiza jumla ya mifumo 29 ya Himars kutoka nchini Marekani. Makubaliano ya awali kati ya Taiwan na Marekani yalisema kwamba uagizwaji wa kwanza ungegharimu jumla ya dola milioni 300.9 kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni genius apewe heshima yake, ninyi Ufipa mtujibu kwanza maswali yetu haya

    zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi yupo ! Anazijua siasa za ushindani ,Hana mihemuko Anaimalisha chama chake kimkakati.jembe...
  13. JamiiForums Tanzania Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

    Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao. Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
  15. JamiiForums Tanzania God Father. Kitabu cha Kwanza

    KITABU CHA KWANZA Nyuma ya mafanikio yeyote kuna uhalifu. - BALZAC Sura ya kwanza Amerigo Bonasera alikuwa ameketi ndani ya jengo namba tatu la mahakama kuu ya kihalifu la New York akisubiri haki itendeke; alipiwe kisasi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ukraine wapokea kifaa cha kwanza kitakachosaidia kwenye kupangua mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi, ila Ukraine hawakua wamejiandaa kwa mabomu ya kupiga uraiani, maana hawakutegemea Urusi wanaweza kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala: Kifo cha kwanza cha Ebola charipotiwa

    Hiyo ni mara ya kwanza tangu mlipuko wa Ugonjwa wa #Ebola kuripotiwa kuanza Nchini Uganda, Septemba 2022 ambapo kifo cha mtu huyo kinafanya waliofariki kwa Ebola kufikia 19. Baada ya kuanza kuonesha dalili alianza kupata matibabu kwa dawa za kienyeji badala ya kwenda hospitali, alifikwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza

    Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...
  19. JamiiForums Tanzania Nahisi Rais Putin atafyatua nyuklia kwa hapo alipofikishwa, hilo daraja tungesubirisha kwanza

    Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu sana $4b kulijenga na kalizindua yeye mwenyewe, kwanza mkandarasi alikua swahiba wake wa utotoni...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…