kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanasayansi wafanikiwa kwa mara ya kwanza kabisa kubaini neva za kisimi

    Wanasayansi wanatumaini kuwa utafiti huu mpya utakuwa "mwanzo wa sayansi ya kisimi". Hatimaye wamefanikiwa kuchora ramani ya neva za kisimi, miaka mingi baada ya ramani ya neva za uume kuchorwa, kupitia utafiti mpya ambao bado haujapitiwa rasmi na wataalamu wengine wa kisayansi (peer review)...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na USA: Maslahi ya Wananchi Kwanza

    Mahusiano ya kimataifa hujengwa kwa maslahi ya wananchi, si kwa kelele za mitandao. Tanzania na USA zimeendelea kuweka mbele biashara, uwekezaji na maendeleo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rank these Presidents wa kwanza kwa ukatili mpaka wa mwisho kwa tafadhali

    Picha hiyo toka X
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kamwe, usijaribu kubet ili kurudisha fedha uliyopoteza, tulia kwanza, vinginevyo Muhindi atakufurahisha

    Kamwe, usijaribu kubet ili kufidia hasara uliyopata kwenye beti ya kwanza Moja ya makosa makubwa ambayo bettors wengi hufanya ni kujaribu kurudisha pesa waliopoteza kwa kubet tena haraka. Hali hii, inayojulikana kama kufukuza hasara (chasing losses), mara nyingi huanza kama wazo la kufidia...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Maseneta wa Marekani Dhidi ya Tanzania Umepita hatua ya Kwanza

    Hatua kwa hatua, mswada umepita hatua ya kwanza na sasa tunasubiri hatua zingine. Tunasubiri hatua zingine.
  6. JamiiForums Tanzania Vita ya kwanza ya kijana si biashara, ni chakula

    kipindi cha nyuma tukiwa tunarudi safari za kikazi wilayani namuona boss wangu anajaza viroba vya vyakula mpaka cruiser inajaa ananishauri ninunue debe za mahindi me bishoo hapo naona huo ni ushamba nanunuaje mavyakula wilayani wakati mkoani masoko yapo na kibunda nitakuwa nacho.. nadharau...
  7. JamiiForums Tanzania Watu weusi mlipigwa mchana kweupe na mkakubali

    Ukweli ni kuwa Obama hakuwa raisi wa kwanza mweusi hapo US bali Raisi wa kwanza chotara.
  8. JamiiForums Tanzania Mtego wa "Mshahara wa Kwanza": Kwanini Vijana Hawaendelei?

    Huu ni mtego wa "Lifestyle Inflation" (Mfumuko wa Gharama za Maisha Binafsi)—ule ugonjwa unaotafuna vijana wengi wa Kitanzania kati ya miaka 24 na 35 pale wanapoanza kushika "pesa kidogo" ya mshahara au biashara. 1. Shambulio la Gari: Chuma vs. Ardhi Hili ni kosa namba moja la vijana wa kiume...
  9. JamiiForums Tanzania Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  10. JamiiForums Tanzania OFFICIAL: Elon Musk amekuwa trillionaire ($) wa kwanza kutokea dunia

    Hii ndio historia ya utajiri wake throughout the years. 2026: $1 Trillion 2025: $683 Billion 2024: $400 Billion 2022: $219 Billion 2021: $151 Billion 2020: $74.6 Billion 2018: $19.9 Billion 2016: $10.7 Billion 2012: $2 Billion Utajiri wa elon upo documented ila naamini kuna watu walishaigusa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  12. JamiiForums Tanzania Tumeugawa mwaka, tuko sehemu ya pili ya mwaka ama sehemu ya kwanza ya kipindi cha pili je unajua tafsiri yake kiroho?

    Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo. Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni lango la kiroho linalofungua madhabahu mapya ya matokeo katika ulimwengu wa roho. Ni majira...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  14. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira: Kuna muda umri unazingatiwa kwenye usaili wa ajira lakini kwanza unatakiwa kufaulu

    Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi. Hayo yameelezwa kupitia chapisho la Mei 30, 2026 wakati wakihojiwa kwenye Kituo cha Channel 10 akiwa pamoja na Katibu...
  15. JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopenda kusema, pasipo kifo cha magufuli hakuna mzanzibari angetawala Tanganyika, hata ilimbidi awaue kwanza.

    Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina. GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ulipata Mtoto wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    kwa wale mliojaaliwa kuwa na mtoto au watoto. Je, ulimpata mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi ? Ulipanga au ilitokea kwa bahati tu ? Swali special kwa wanawake: ulipata mimba kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka mingapi ? ( maana najua hapa wengi huwa wanapata alafu wanatoa )
  18. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kingu: Tusije tukaruhusu heshima ya Rais wetu ikachezewa, ndiye Rais wa kwanza kuwatembelea wapinzani waliotoroka na kukimbia

    Mbunge wa Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu akichangia hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje leo Mei 26, 2026, Bungeni Dodoma "Ni Rais huyu Daktari Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani jambo la kwanza alilolifanya, Rais wetu—wabunge naomba tuwe na kumbukumbu. Ninaomba tuweke kumbukumbu sawa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea CCM?

    Inavyoonekana, ni kama vile CCM kuna ombwe la ki Uongozi. Asha-rose Migiro hatoshi na hana sifa za kuendelea kuwa Katibu Mkuu hata kwa siku moja mbele! Ni Katibu Mkuu asiye na ushawishi wala hasikilizwi na yeyote. Yupo kimya kama vile alilazimishwa awe hapo alipo. Mbaya zaidi, pesa za Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…