kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Burkina Faso wamezindua gari ya kwanza ya umeme: Wanaiita ITAQUA EV!

    Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma. Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km. Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei, upatikanaji, perfomance na models hazijawekwa officially, ila ni mwanzo mzuri kwa nchi kama hiyo na iwe...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeona mwanaume analia kwa sababu isiyohusisha msiba wala mapenzi

    Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji kikubwa katika mambo ya filamu. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sikuwahi kujiuliza, hakufanikiwa kumaliza...
  3. JamiiForums Tanzania Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

    Biashara ya dada zetu kujiuza miili yao ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta mabadiliko, ipo siku nitaanzisha kampeni yenye lengo la kuwaokoa na kuwapa maisha mapya. Kampeni hii...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  5. JamiiForums Tanzania Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

    Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully. Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika...
  8. JamiiForums Tanzania Crown Media zingatieni umakini wa maudhui, sio kukurupuka kuwa wa kwanza

  9. JamiiForums Tanzania Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  10. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni freelancer na hupati kazi FIVERR? Tunaweza kukusaidia kupata mteja wako wa kwanza FIVVERR!

    Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo? Karibu tukusaidie. Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help! Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe Akishinda Uenyekiti kazi ya kwanza iwe ni Kumtimua Lissu Chamani ili asiendelee kukivuruga na kukigawa chama

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini akipita na kushinda uchaguzi hiyo tarehe 21 mwezi huu .ambapo anatarajiwa kushinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anapaswa kwa haraka sana na mara moja kumtimua Lissu...
  12. JamiiForums Tanzania Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

    Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani. Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya...
  13. JamiiForums Tanzania Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

    Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)" Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Shule za Serikali Rombo zinatoza Tsh. 40,000 kusajili Wanafunzi wa Darasa la Kwanza

    Kero. Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo. Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini kinachoendelea huku Rombo ni wizi mkubwa tena wilaya ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Elimu, Prof. Adolf...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

    Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
  16. JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi mno juu ya 'Maelezo Tatanishi' haya kama Critical Thinker, ila naomba Kwanza nanyi muulize yenu ili atujibu mbashara

    Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo. Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania BONGO TV na mapinduzi sehemu ya kwanza

  18. D

    JamiiForums Tanzania Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kati yenu na Baleke mnayaficha Kwanza mpaka Hesabu zenu za Vikokotoo (Calculators) zitimie Kesho au?

    Kudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia Na sasa kawaambieni tena kwa Amri kuwa tekelezeni yaliyomo katika Mkataba wenu nae ndani ya Siku Tano (5) zijazo na...
  20. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…