kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Mungu hua anapitaga na wazaliwa wa Kwanza wa watu waovu

    Kwa usomaji wangu wa bibilia kila mtawala au mtu mwovu(Muuaji) alipotokea Mungu alianza kupita na mzaliwa wa kwanza kama namna ya kumuonya na kumfundisha. Tulinde vizazi vyetu kwa kutenda mema!
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  3. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania LILITH: Mwanamke wa Kwanza Kabla ya Hawa? Ukweli, Fumbo na Tafsiri

    🔍 UTANGULIZI Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya Kiebrania, Kabbalah, na maandiko ya Kiyahudi ya kale kuna jina jingine linalojitokeza: LILITH. Lilith ni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

    IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi. Na hii itatokana na ridhaa ya...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara tambua bidhaa ya kwanza kabisa niwewe binafsi

    Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni. Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27...
  9. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Sperm Race: Mashindano yafanyika kwa mara ya kwanza Los Angeles

    Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!! Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea. Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU zinachukuliwa kutoka kwa washindani, zinawekwa kwenye kifaa cha microscope vijusi vilivyomo kwenye WAZUNGU...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uingereza yapata meya wa kwanza huko Brighton asiyejua Kiingereza!

    Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  12. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania China Yazindua Mtandao wa Kwanza wa 10G Duniani

    China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
  13. BABA SANIAH

    JamiiForums Tanzania Simba mfike kwanza fainali ndiyo mbishane na Yanga

    Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  15. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kujenga Boma, nini kiatakiwa kufuata kati ya kuweka Madirisha ya Grill na Mageti ama kuezeka?

    Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na mageti, ama kutulia kwanza na kuezeka ndipo niweke madirisha natanguliza shukran
  16. T

    JamiiForums Tanzania Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara au eneo la biashara kwanza.

    Wadau nauliza wenye uzoefu watusaidie, Jambo gani ni mhimu kuanza nalo ukiwa unafungua biashara(business) Unawaza kwanza biashara ya kufanya ndio utafute location(eneo) Au unatafuta kwanza eneo ndio uwaze biashara(business ) ya kufanya. MMH!?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

    Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba. Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mazda wamezindua Electric SUV yao ya kwanza: Mazda EZ-60!

    Wakali wa hizi mambo Mazda wamezindua Electric SUV yao ya kwanza, inayoenda kwa Mazda EZ-60. Kwa muonekano wametupatia baadhi ya picha za nje, chuma ni kali. Ila picha za ndani kidogo wamezibania kwa sasa. Kwa size, vipimo vinafanana na Tesla Model Y. Gari itakua na battery ya 80kWh yenye...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Herufi ya kwanza ya jina lako imebeba tabia yako

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu nimeufanya kwa muda mrefu kwahiyo ninacho kisema hapa ninauhakika nacho...
Back
Top Bottom