kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

    Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church. Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...
  2. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Njia ya kupokea Upendo ni kuutoa kwanza.

    Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala hauongezeki. Hivyo unachotakiwa kuusogelea karibu ili uweze kuufaidi, na huko kuusogelea karibu ndio...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  4. monta

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa?

    Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara. Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm niliingiziwa boom laki 7 kipindi naanza semester ya kwanza first year nikaingia kupatana.com...
  5. Shanily

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

    Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe 1. Kigoma hakuna foleni barabarani. 2. Hakukuwa na dalalada za mjini kama huku Bali Kuna vibajaji. Basi nikapanda kibajaji , njiani...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maoni yangu:Kabla hujao boresha kwanza sehemu unayolala

    Ni maoni yangu yanastahili kupingwa,kuungwa mkono au kukosolewa ama kuboresha zaidi. Kwa mwanaume jambo ambalo unapaswa kulipa kipaumbele zaidi unapoanza maisha Yako ya kujitegemea boresha kwanza sehemu ya kulala. Kwanini napendekeza sehemu ya kulala iwe nzuri. Baada ya michakato,kazi ngumu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rekebisheni madudu haya mliyofanya kwenye selection za wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2025

    Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
  8. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  9. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  10. gugumaji

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha?

    Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha? Naomba mawazo yenu.
  11. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hawa Bravos wanaweza kufuzu robo kwa mara yao ya kwanza kwenye hiki kikombe cha ushilikishwaji!

    Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,, Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na...
  13. Knock life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wajue Wazelote, magaidi wa Kiisraeli waliotamalaki enzi zile za Yesu, husemekana kuwa ndio kundi la kwanza la magaidi duniani

    Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda. Kijana Yuda alikuja kuwa mtu msumbufu nzima ya Israeli! Kipindi hicho Waisraeli walikuwa wakipitia...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

    Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tokea tarehe 19 Novemba, mgonjwa wangu ndio kwanza kafanyiwa UTRASOUND Muhimbili. Changamoto ni nyingi sana

    Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili atapata baraka tele kutoka kwa MwenyeziMungu. Nayasema haya kutokana na hali halisi. Mgonjwa kapewa rufaa...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mara yangu ya Kwanza kupigana na mwanamke. Kumbe alikuwa Mchumba Polisi

    Habari za jumapili Wakuu! Miaka hiyo bhana! Niko zako mwaka wa Kwanza nikiwa Likizo. Nimerudi zangu Moshi. Sasa mtaa tuliokuwa tunakaa ni karibu na Kota za Polisi pale Moshi Mjini. Kwa wanaojua Moshi Mjini Basi karibu na Club kubwa inayoitwa HUGO Club. Kutoka Hugo Club na uwanja wa mashujaa sio...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PSSSF yashika nafasi ya Kwanza katika Tuzo za Uandaaji Bora wa Mahesabu za NBAA, 2023

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii. Tuzo hiyo imepokelewa na Meneja wa Fedha, PSSSF, Bi. Vonness Koka, kwa niaba ya Mkurugenzi...
Back
Top Bottom