The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,212
Hii kwa watoto wa kuwekwa kwenye Pot,pampus na tissue hawajui kuhusu hichi kiti cha asili cha kukalia.
Tena unakunya huku unapata kajoto kwa miguuni!Hii kwa watoto wa kuwekwa kwenye Pot,pampus na tissue hawajui kuhusu hichi kiti cha asili cha kukalia.
View attachment 3237901
Yanaenda kupotea due to sayansi na teknologi dah