kuziba pengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Matumizi ya Intaneti: Nini kifanyike kuziba pengo kati ya Wanawake na Wanaume?

    Pengo kati ya Wanaume na Wanawake katika upatikanaji na matumizi ya Intaneti ni changamoto duniani kote. Asilimia kubwa ya watu Bilioni 2.9 ambao hawafikiwi na Huduma hiyo ni Wanawake na Wasichana. Tatizo hili lipo zaidi kwa Nchi Masikini, ikiwemo zilizopo Barani Afrika ikielezwa baadhi ya...
  2. The Sheriff

    Jitihada Kubwa Bado Inahitajika Kuziba Pengo la Kijinsia katika Ajira

    Licha ya kuongezeka kwa mijadala inayohusu ukosefu wa usawa ambao wanawake wanakumbana nao katika maeneo ya kazi, bado kuna jitihada kubwa inayohitajika ili kuziba pengo la kijinsia katika ajira. Ikilinganishwa na wanaume, wanawake wana uwezekano mdogo wa kuajiriwa katika kazi zenye malipo ya...
  3. USSR

    Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

    Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake. Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo. 1. Mtu mwenye hofu ya...
Back
Top Bottom