Habari
Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu
kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema.
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii muhimu ya kumbukizi
ya kuzaliwa kwangu furahi pamoja nami siku hii...